Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 574
Mathayo 6:33Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.
Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
oo Yeah total turnoff mwanawume asiye na pesa huyu hata hotelin he will ask price of water before ordering.Hivi na huu ni ushauri??
Haya mawazo ya wenye umri below 35..... COME above 35 ndo utaelewaHasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.
Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
initial capital utanipea na saloon pia.Na wenyewe papuch zisafishwe vizuri zisinuke pesa na hakuna mwanaume asie na pesa ila kuhonga pasina mwanamke asie na akili hakuna siku hz baada ya kuomba hela ya mtaji wa biashara unaomba hela kwenda saloon
Nakubaliana na wewe kwani raha ina gharama zake ila tukumbushe kuwa Kuku hula Sawa na mdomo wake na huwa hapaliwi. Angalia hata kinyaia ameamua kubeba mtu Sawa na nyanya yake! Hivyo above 35 kama huna hela ni vyema ukamuiga Ben kinyaia ukabeba over 50 years baadala ya kutafuta less than 25oo Yeah total turnoff mwanawume asiye na pesa huyu hata hotelin he will ask price of water before ordering.
money is everything mwanaume asiye na hela anakuwa musumbufu sana kind of zezeta.
Hakuna kitu kama hicho siku hz tuna angalia mwanamke mwenye tijainitial capital utanipea na saloon pia.
Mkuu nadhani jibu unalo tayari! Chelsea kwisha habari yakeMan u leo atashinda?
kote hakufai
mtu mwenye pesa kwako awe na utajiri kiasi gan? in terms of tshsinitial capital utanipea na saloon pia.
Ndomana mnaliwa 0713 kwa kupenda kwenu pesa nyambafHasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.
Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.