Ana pole sana… Sasa hapa sijakuelewa… Wanaume ni stress sababu anawanawake wengi ama sababu kakudanganya? Ni wachache wenye kupenda mmoja na kugandana na huyo kila wakati. Ukweli ni kwamba mwanaume anaweza akwa na wanawake sita na akawapenda wote kabisa. Mwingine sababu anafurahia company, mwingine sababu wapo compactible on bed na mwingine sababu labda umemzalia mtoto ama watoto na ni mke na sababu nyingine nyingi tu. Is it right? Hapana! BUT bahati mbaya sana habari ndio hiyo...
Huwa nawashangaa sana wenye mapenzi ni almost perfect kila kitu kipo katika mstari but bado haridhiki na kutaka kuchokoa mengine zaidi ya hapo kwa kutafuta kasoro zilizopo! Ukiwa katika mahusiano, ukiona kila kitu kipo sawa na wafurahia mahusiano live the moment na ufurahie maisha (hope na wewe ulifanya hivo)…
For believe me you kuna wakati tu utafika utakuta kuwa hay ohayo mapenzi ni machungu hadi unajikuta unafungua thread kwa hasira na lawama nyingi or kufanya lolote lile mradi ujisikie amani. Kila la kheri kwenye kupoa…
Umeongea vizuri sana mkuu,
Mimi labda niwatoe woga tu wanawake, ni kwamba wanaume wakipenda wanapenda kweli tena kwa moyo wote ila shida
iliyopo ni kupenda mmoja tuu katika life yake, hii inakuwa kama vile hajazitumia vizuri neema zilizopo (si vyema hata hivo)!
Lakini hali hii huenda inapungua siku hadi siku, akifikia kwenye (40-45) wengi huwa wanaanza kutulia na kuhudumia familia
zao ikiwa ni pamoja na kuhangaikia maakazi ada za shule n.k.
Ushauri
Kama upo kwenye uhusiano na mwanamme anakupenda mnapendana, endeleeni kupendana na jaribu kumuweka karibu
kisaikolojia hata ukihisi kuna kimada pembeni, usijaribu kumkorofisha utampoteza, na hata ukipata mwengine ni hayo2
na labda wa mwanzo anaweza akawa nafuu !!
Ukishindwa yote haya basi tafuta mzee, utapata akiwa ametulia, ila sijui kama utayapata vyema mambo yaleeeeeeee!!