Wambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 558
- 335
Wanaume wanaumwa ugonjwa maarufu unaitwa 'I want that taste Disease' hatutosheki...Utakuta mtu ana mke mzuri,unywele hadi mgongoni,shape kama kachorwa na bikari,kamuoa yuko home lakini akiwa nje ukipepe kama kawa,na anacheat na mwanamke ambaye wengine hata huelewi kafuata nini maana wako below Standard hata za mkewe,Mwanamke ana Chunusi nyingi kuliko Vinyweleo,wakati mkewe chuma cha pua yaani TBS ya mapenzi hakuna kabisa...Wa ukweli yuko home lakini bado anataka kujua Taste ya hii mpya aliyoiona ikoje na akishatest basi,roho inatulia macho yanasaka taste mpya,Tukifanikiwa kupona ' I want that taste Disease' hakuna viumbe tunajua kupenda kama sisi wanaume na tutawapenda nyie wadada hadi mshangae na kuota vipele vya baridi,lakini shida ndo hiyo,asilimia 95 au zaidi tunaumwa,mke kibonge tunacheat na Miss Kishumundu,hata haijulikani Hobby yetu ni Mifupa au Nyama.Eh Mwenyezi Mungu saidia macho yetu yaache kuona sana na turidhike na Taste moja na sio kila Taste maana Safari sisi,Tusker Sisi na Balimi sisi,absolutely no Choice...Wanaume msinichukie,kukubali udhaifu ni nusu ya Kupona udhaifu huo.
Kwa Hisani ya watu wa Kishumundu wakishrikiana na Wamachame.
Kwa Hisani ya watu wa Kishumundu wakishrikiana na Wamachame.