Wanaume single na wanawake single tukutane hapa

Wanaume single na wanawake single tukutane hapa

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
414
Reaction score
483
Wachache wanafurahia kua single, ila wengi hawafurahii.

Kuna changamoto gani unaipata ya kuwa single, na kwanini upo single hadi muda huu? Tujulishane hapa.

Kama wewe unahitaji kutatuliwa u-single wako humu na single mwenzako aliyehumu, comment sifa zako na sifa za umtakaye kisha mnaovutiana mtapeana contacts zenu PM.

Nikianza na mimi ni ME, nipo single toka nalia ng'aa. Nafurahia u-single wangu mpaka nitakapo taraji kuoa. Nipo single kwa sababu za kiimani. (muislamu).

Ila endapo nikipata mchumba sitafanya naye tendo la ndoa hadi nioe. Na namuomba Mungu anipe yule ambaye na yeye bado. Na najua kibinadamu ni vigumu ila kwa Mungu yote yanawezekana.
 
Ningehitaji ningeandika vigezo vya huyo ninayemuhitaji na vigezo vyangu. Nitahitaji ila sio kwa sasa
Nikianza na mimi ni ME, nipo singo toka nalia ng'aa. Nafurahia usingo wangu mpaka nitakapo taraji kuoa. Nipo singo kwa sababu za kiimani. (muislamu).. Ila endapo nikipata mchumba sitafanya naye tendo la ndoa hadi nioe. Na namuomba Mungu anipe yule ambaye na yeye bado. Na najua kibinadamu ni vigumu ila kwa Mungu yote yanawezekana.
Nimekujibu kutokana na maelezo yako period
 
Nipo single na nahitaji baby mimi ni ME

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Back
Top Bottom