Hayo matatizo ya kuoa na kuolewa Waislam hatuna, sisi tunaoana.
Hayo matatizo ya kuoa na kuolewa Waislam hatuna, sisi tunaoana.
Mie wapo humu jf nataka niwaoe.....wanajijua
Hayo matatizo ya kuoa na kuolewa Waislam hatuna, sisi tunaoana.
Uislam umeingiaje hapa mamaa FaizaFoxy
Haka kamama udiniudini tu ndo kanawazaga
Hata mimi nashangaa.
Mie wapo humu jf nataka niwaoe.....wanajijua
Huyo huwa anakumbuka mambo mawili tu akiwa humu jf; 1. uislam(kuusifia) na 2. mwalimu nyerere(kumponda).
Call no man unhappy until he is married.Eti mwanaume mzima kabisa unachukua mizigo yako unahamia kwa mpenzi/mkeo unaenda kuishi huko na siku mkikosana unachukua nguo zako unasepa, wanaume wanazidi kupungua na kubaki wakiume huwa najiuliza kama wanaume wenyewe ndo hawa wa siku binti yangu ataolewa nani?.
Eti mwanaume mzima kabisa unachukua mizigo yako unahamia kwa mpenzi/mkeo unaenda kuishi huko na siku mkikosana unachukua nguo zako unasepa, wanaume wanazidi kupungua na kubaki wakiume huwa najiuliza kama wanaume wenyewe ndo hawa wa siku binti yangu ataolewa nani?.