Tulia umeyataka mwenyeweYaani sio siri amenikwaza sana
Mengine yap? Washapita mtungo auYaani sijui imekuaje nikaongea maana nimekwepa sana hilo swali zaidii ya miaka ila mtu anakuganda what else nikimwambia mengine si atakupa wanaume wengi ni wagonjwa
Some kids!😂😂😂😂Tuna mahusiano ya muda mrefu tu zaidi ya mwaka, huyu jamaa tangu naanza nae mahusiano amekuwa akilazimisha nimwambie kuhusu background yangu ila mimi namkwepa
Yaani yeye kazi yake ni kunihadithia kuhusu ex’s zake mara ooh mara uuh anyway mimi sijajali sana kuhusu hilo
Katika story story tukajikuta tumeingizia hiyo mada tena tunatania basi ye kusema ashatembea na dadaz wengi tu na Mimi nikamwambia yeye ndio wa pili kwangu
Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii
Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
Hapa umetuonea wote kutupa utambulisho mmojaBinti hujawaelewa hawa wapumbavu.
Kosa kubwa mnalolifanya ni kuwavulia vyupi kabla hamjaoana.
Unadate na Mvulana alafu unakuja kutulaumu wanaume wote humu ndani?Tuna mahusiano ya muda mrefu tu zaidi ya mwaka, huyu jamaa tangu naanza nae mahusiano amekuwa akilazimisha nimwambie kuhusu background yangu ila mimi namkwepa
Yaani yeye kazi yake ni kunihadithia kuhusu ex’s zake mara ooh mara uuh anyway mimi sijajali sana kuhusu hilo
Katika story story tukajikuta tumeingizia hiyo mada tena tunatania basi ye kusema ashatembea na dadaz wengi tu na Mimi nikamwambia yeye ndio wa pili kwangu
Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii
Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
Hakupendi.mtu kukusimulia mambo ya ex wake ujue moyo wake kaacha huko
Tulia umeyataka mwenyewe
Yaan wengine watoe bikra yeye ndiyo aoe??? Halafu alipe na mahari? Daaah inauma sana
Nyie mabinti mnachekesha sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wote wawili, nimemsitiri tu huyo binti pengine kwa upumbavu wake ni singo maza anaejitafutia kipato kwa kuvua chupi.
Mengine yap? Washapita mtungo au
Jokes [emoji23]
S
Some kids![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadate na Mvulana alafu unakuja kutulaumu wanaume wote humu ndani?
Tutafika tumechoka sana.Ni kazi juu ya kazii
Ulikua darasa la ngapi na ulijisikiaje tamu chungu au vyoteSi nilienda nikatolewa sasa Kuna lingine zaidi ya kulala bed na kutolewaa