Wanaume shida ni nini?

Hata mimi sielewi mtu ana kuganda umwambie ukweli unapita Kona hii et anakulaumu kabisa kwanini unamficha unaficha nini niwaulize nyie wanaume mnatakaga nini na mtu mumemkuta sio bikira

Kuna mda mtu anataka majib ambayo anajua kabisa yatamuumiza ila kiherehere tuh [emoji3]ila bdo nakazia utuambie ilikuaje usikute aliekutoa alikua baba ake au kaka ake wategemea akuchekee [emoji28][emoji28]
 
Wala sijataja jina na wala ex wangu hajui majina yao

Nilimpa maelekezo tu kwamba nilienda nikaliwa basi
 
Ilitakiwa uendelee kukwepa kumwambia.Ungemuuliza kwani nikikuambia itakusaidiaje Kuna vitu vingi watu wengi Huwa wanauliza kutaka kujua lakini havina umuhimu kabisa.

Yaani sijui imekuaje nikaongea maana nimekwepa sana hilo swali zaidii ya miaka ila mtu anakuganda what else nikimwambia mengine si atakupa wanaume wengi ni wagonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…