Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Wanaume tumekuwa hatulidhishwi na mambo kadhaa wanayoyafanya wanawake, hasa katika mahusiano
THEN..kwa mfano wewe mwanaume unageuka na kuwa mwanamke a.k.a DEM ungeboresha, au badilisha nini katika mlolongo wa tabia za sasa za dadazetu (wanawake wa sasa)
Hii sio dalili nzuri kwa huyu ndugu yetu sa mawazogani tena hayo?
alifeli hata kabla hajaandikaHuyu jamaaaa kashaanza kufeli.
Nalog off
hahahapyuuuu aya jivishe uwanawake
Wanaume tumekuwa hatulidhishwi na mambo kadhaa wanayoyafanya wanawake, hasa katika mahusiano
THEN..kwa mfano wewe mwanaume unageuka na kuwa mwanamke a.k.a DEM ungeboresha, au badilisha nini katika mlolongo wa tabia za sasa za dadazetu (wanawake wa sasa)
Mie mwanamke hivo napita
alifeli hata kabla hajaandika
tema mate chini