Wanaume tumekuwa hatulidhishwi na mambo kadhaa wanayoyafanya wanawake, hasa katika mahusiano
Wanaume tumekuwa hatulidhishwi na mambo kadhaa wanayoyafanya wanawake, hasa katika mahusiano
THEN..kwa mfano wewe mwanaume unageuka na kuwa mwanamke a.k.a DEM ungeboresha, au badilisha nini katika mlolongo wa tabia za sasa za dadazetu (wanawake wa sasa)
miss chagga ningechangia ila nimeshindwa masharti, ishu ya kujigeuza hapanaduh nimepotea njia... ngoja nikuitie Eiyer, utafiti, Excel, Mtoto halali na hela haka kamada kamenivutia kwa sababu mnatakiwa kujivisha uwanawake kwa mda embu njooo mfanye hii kazi alafu utoe ushauri
na mi nimekuita kuona msimamo wako na nijue kama ulishawahi fikiria kuwa mwanamkemiss chagga ningechangia ila nimeshindwa masharti, ishu ya kujigeuza hapana
na mi nimekuita kuona msimamo wako na nijue kama ulishawahi fikiria kuwa mwanamke
Kwa hapo hapana...inabidi mtoa mada aombe radhi