Jogoo mbegu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 824
- 3,459
Ni baa gani hizo unaendaga?, za vichochoroni au. Maana hadi unakutana na watu wa aina hiyo. Hiyo Sio baaa kwakweli. angalia usije ukakabwa huko wakiona umezidi uchoyoSi kwa uchoyo ila inaleta kero sana, unakuta mtu una pesa kidogo kama elfu tano hivi, unasema ngoja nipitie baa hapo nipate hata vibia viwili vya kupatia usingizi niende nyumbani.
Ukiingia baa sasa unazingirwa na wakaa baa tena wengine na heshima zao, kuanza kung'ang'ania umununulie bia!!
Ndiyo jibu ni rahisi utamjibu sina hela ila sasa mpaka akuelewe ni maelezo mengi kama si kugombana.
Wakati mwingine unaweza rudia mlangoni ukicheki omba omba wa bia wanavyokukodolea macho wakingoja ukae waje anza kukupamba sifa za kindezi huku wakiomba bia😳😳.
Hii ni aibu sana, kama huna mia bora ukae home acha kukera watu.
Mtu unanunua kanyama choma nusu kamewekwa mezani tu, mtu huyo nae kuzuga na salamu mara katia fingers😂😂
Hawana heshima wala adabu tena sometimes mtu hata huna huusiano nae wa karibu.
Oyaaa 😂Wanakera sana,kuna mmoja jana kaniomba bia,me nkamuomba mkundur akarusha ngumi..
He ukamwachia alipie?Mi kuna moja huyo alivyo niona nimekaa tuu kwenye meza yangu pekeangu.
Nae huyu hapa kaja.
Basi nikiagiza Round basi na yeye nimpatie Story zake si maisha yangu.
Alipo nitibua nipale nimepokea Simu nikaenda pembeni kidogo kuongea narudi nakuta bia zangu kampa Muhudumu azibadilishe zikawa zake na kazifungua Dah...[emoji23]
Muda huo sija aga nabili sija lipa nikasepa zangu
Eeeh kwanza nlihitaji kukaa mwenyewe.
Ushaambiwa ana hela ya bia mbili huyo mrembo atampa nn?Dawa nenda na mrembo bar wataona aibu kuja kwenye meza y'ako
Naunga mkono hoja yako.Si kwa uchoyo ila inaleta kero sana, unakuta mtu una pesa kidogo kama elfu tano hivi, unasema ngoja nipitie baa hapo nipate hata vibia viwili vya kupatia usingizi niende nyumbani.
Ukiingia baa sasa unazingirwa na wakaa baa tena wengine na heshima zao, kuanza kung'ang'ania umununulie bia!!
Ndiyo jibu ni rahisi utamjibu sina hela ila sasa mpaka akuelewe ni maelezo mengi kama si kugombana.
Wakati mwingine unaweza rudia mlangoni ukicheki omba omba wa bia wanavyokukodolea macho wakingoja ukae waje anza kukupamba sifa za kindezi huku wakiomba bia😳😳.
Hii ni aibu sana, kama huna mia bora ukae home acha kukera watu.
Mtu unanunua kanyama choma nusu kamewekwa mezani tu, mtu huyo nae kuzuga na salamu mara katia fingers😂😂
Hawana heshima wala adabu tena sometimes mtu hata huna huusiano nae wa karibu.
Ambae hanywiUshaambiwa ana hela ya bia mbili huyo mrembo atampa nn?
Hawaoni aibu mkuu yaaani hata uende na mama mkwe hawajali😄😄Dawa nenda na mrembo bar wataona aibu kuja kwenye meza y'ako
Kweli mkuu kwa wakike kuhonga haiumi sana coz one day unaweza omba upapa!! Sasa dume zima kulipa bia hapanamimi nanunuliaga watoto wa kike tu, siwezi kununulia mwanaume mwenzangu bia.
Angalau hawa wenzetu ukimpiga mbili tatu, anakuwa moja ya stock yako.
Hawaelewi kirahisi ving'ang'anizi Sana ikibidi sirikali itusaidie 😄😄😄😄Kweli hii tabia inachefua mno. Mimi huwa nikiingia hayo maeneo huwa sitaki mazoea kabisa. Ukiniomba bia nitakujibu STRAIGHT sina hela.
We jamaaa fala sana eti stock yangumimi nanunuliaga watoto wa kike tu, siwezi kununulia mwanaume mwenzangu bia.
Angalau hawa wenzetu ukimpiga mbili tatu, anakuwa moja ya stock yako.
Bia za mserereko hapanaWana wanywe bia