Wanaume nyie

Nasamehe yote ila kugongwa na mwingine hapo hata risasi nakupiga.
 

Huwa sioni sababu ya kuendelea na mtu ambae haoni thamani yake na kuamua kwenda nje kutafuta kile akipatacho kwangu.
Kushindwa kuelewa kuwa unapendwa na mimi na kwenda nje kwa tamaa zako za mwili au ujinga.
Tunae Mungu amekubali tusameheane kusamehewa utaweza samehewa ila hutaishi vizuri maana kila saa utahisi unachunguzwa.
Mimi nikigundua umechepuka au ulichepuka au una mpango. Risasi utamiminiwa
 
Ngumu sanaaaa kusamehe ukimfumania mwanamke. .!!!
 
Kosa la usaliti wa mwanamke halisameheki. Kugongewa inauma sana. Nakushauri uwe makini sana manake kaka akisema amekusamehe ujue anakulia timing tu ili aje kukuumiza vibaya sana hapo mbeleni. Take it from me, I'm a dude.
 
Wanaume wanakuwaga wazito sana kusamehe pale wanapokosewa! Ila hutegemea kusamehewa na wake zao hata mara mia wanapokosea! Hii ni uumbaji wao tu! Wako hivyo!
 
A woman feels a hero, when a man says "Forgive me"
 
Kuna baadhi ya makosa mtu akifanya ili umsamehe inabidi uwe na moyo mkubwa kama jabari, ebu niambie kosa ulilofanya nielewe vizuri.
 
inategemea na kosa lenyewe..kama ni kuchepuka hapana kabisa kusamehe iyo.cc vidume ndio tunatakiwa tuchepuke.
 
Umesema kweli,kusameheana ndo mpango mzima kukosea ni kawaida ya mwanadamu.
Lkn pia tukumbuke kuwa kosa na kusamehewa kunategemea na maneno ya anayeomba msamaha,kuna mtu
anakuomba msamaha ukitafakari anasema ''nisamehe basi mbona na mimi siku ile nilikusamehe?'' sasa unajiuliza
nilidhani mwenzangu kateleza kumbe analipiza,hapo ndipo tifu linapoanzia.
Ni vema unapoomba msamaha uwe umezamiria kutoka moyoni badala ya maigizo.
 
Mwanaume hasumbui akili yangu,,,,,,, wako maelfu msamaha wa mtu mmoja usikupe tabu....
Shemeji usimpoteze mwenzio,tuna gharama eti.
Ngoja nikuonyeshe gharama yetu ilipo,mwanaume ana uwezo na uamzi wa kuchumbia,mwanamke hata awe na pesa vipi hana uwezo wa kuchumbia ila ana uwezo wa kutafuta wa kummega tu,hivyo kama mwenzio kaolewa usimponze asije akajuta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…