Wanaume nyie

kusamehewa hakulazimishwi mbona kama joto limepanda???
 
Hao ndo wanaume mioyo yao migumuu kama mbao za mwembe!!!
 
kama ulimpa papuchi yake mwingine hata kusamehe ni ngumu kidogo labda kama alikuwa anapiga bao moja
 


Jina lako linamaanisha mengi sana, pole sana Totoz, huko mnakochepuka kuna mitaro sana mkumbuke breakdown just in case!
 
Last edited by a moderator:
Na ukiona mwanaume anakusamehe wakati umefanya kosa la kumsaliti ujiandae kwa yote.,
 

cc
Nelson mandela
 
Last edited by a moderator:
Mmmh hilo ulofanya unaona hta aibu kulisema
 
kuna baadhi ya watu somo la msamaha walipata F na somo la unyama walipata A sasa ww unategemea atatoa wapi msamaha wa kukusamehe
 
Mwanaume hasumbui akili yangu,,,,,,, wako maelfu msamaha wa mtu mmoja usikupe tabu....
 

Yapo aina ya makosa.
 
wala asikupe headache, endelea na ustaarabu wako kama hayupo vile. it works for me
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…