Ninge pata mke kama wewe ninge furahia maisha na ningefanya juu chini nic kuhudhi ..jamani nyie wanaume embu jaribuni kutusame na sisi tunapo kosea. Mbona nyie mkikosa tunawasamehe mnadhani tuna moyo wa plastik. Sasa mbona mnatutesa hivi nikikosa na kwambia sasa ni shidaaa daaah hebu basi jaribu kufikiria japo yale mazur tuliofanya pamoja na mema niliokufanyia, ile tym hauna kitu nilipokutoa, ile tym umegombana na watu mie ndo nakupokea na kukufariji. Sasa mbona sasa zamu yangu hata kunisamehe jamani.. Duuuuhh
bora umzurum mwanaume hela kuliko kumgongea demu wake... ka ulichepuka na akajua tafuta mwingine tu, mambo mengine ukisamehe utaonekana -----
funguka!jamani nyie wanaume embu jaribuni kutusame na sisi tunapo kosea. Mbona nyie mkikosa tunawasamehe mnadhani tuna moyo wa plastik. Sasa mbona mnatutesa hivi nikikosa na kwambia sasa ni shidaaa daaah hebu basi jaribu kufikiria japo yale mazur tuliofanya pamoja na mema niliokufanyia, ile tym hauna kitu nilipokutoa, ile tym umegombana na watu mie ndo nakupokea na kukufariji. Sasa mbona sasa zamu yangu hata kunisamehe jamani.. Duuuuhh
Ninge pata mke kama wewe ninge furahia maisha na ningefanya juu chini nic kuhudhi ..
jamani nyie wanaume embu jaribuni kutusame na sisi tunapo kosea. Mbona nyie mkikosa tunawasamehe mnadhani tuna moyo wa plastik. Sasa mbona mnatutesa hivi nikikosa na kwambia sasa ni shidaaa daaah hebu basi jaribu kufikiria japo yale mazur tuliofanya pamoja na mema niliokufanyia, ile tym hauna kitu nilipokutoa, ile tym umegombana na watu mie ndo nakupokea na kukufariji. Sasa mbona sasa zamu yangu hata kunisamehe jamani.. Duuuuhh