Wanaume njooni huku Kuna kikao

Wanaume njooni huku Kuna kikao

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
364
Reaction score
735
Kabla ya yote niwashukuru kwa kuitikia muitiko huu

Sasa tunaweza kuketi ili tuanze kikao

Bila kuwachosha .

Kuna kitu nilihitaji majibu kutoka kwenu wanaume

Imetokea kwenye harakati zako za utafutaji uko na rafiki yako ambae mmeshibana ghafla mkatofautiana na kuanza kuvutana Mara ugomvi huo

Halafu kumbe mtu mwenyewe Ana magonjwa ya muda mrefu yanamsumbua, umemgusa kidogo unashangaa amedondoka chini

Unafanya jitihada za kumuwahisha hospitalini mmefika huko

Ripoti ya daktari inaeleza mtu amefariki.

Ghafla unaanza kuonekana muuwaji, unakuja unakamatwa unawekwa ndani

Hakimu anatoa hukumu kwamba unatakiwa ufungwe kifungo Cha Maisha

Mkeo kupata taarifa ananyong'onyea anawaza namna gani atakusaidia.

Mkeo anaamua kutembea na hakimu ili wewe usifungwe

Je. Huyo atakuwa ndo mke bora kwako?

Yapi maoni yako karibu
 
Shenzi wewe mada za kijinga watu tuko kwenye maandamano
 
Sheria ifate mkondo wake,nitarudi mahakamani kushtaki kuwa hakimu alipokea rushwa ya ngono toka kwa mke wangu ili nitoke gerezani,na sheria inasema mtoa na mpokeaji rushwa wote wana makosa. Wote wataishia gerezani kisha nitamuoa mke wa huyo hakimu.
 
Nitakuuliza swali na hili swali ulijibu umakini mkubwa sana maana weengi wasio na akili uhisi wametoa jibu sahihi kumbe wametoa jibu lisilo sahihi sasa acha nikupime IQ yako

Je! Uchi wa mkeo ni uchi wako au ni uchi wake?
 
Leo nimeshiba sana akiri imekuwa fupi, nitakuja kucoment kesho hii mada ni ngumu kidogo, anyway kautazame wimbo wa Bahati Bukuku - Dunia haina huruma, majibu utayapata huko.
 
Nitakuuliza swali na hili swali ulijibu umakini mkubwa sana maana weengi wasio na akili uhisi wametoa jibu sahihi kumbe wametoa jibu lisilo sahihi sasa acha nikupime IQ yako

Je! Uchi wa mkeo ni uchi wako au ni uchi wake?
Mbona jibu simple tu uchi wake
 
Sheria ifate mkondo wake,nitarudi mahakamani kushtaki kuwa hakimu alipokea rushwa ya ngono toka kwa mke wangu ili nitoke gerezani,na sheria inasema mtoa na mpokeaji rushwa wote wana makosa. Wote wataishia gerezani kisha nitamuoa mke wa huyo hakimu.
Basi sawa
 
Shenzi wewe mada za kijinga watu tuko kwenye maandamano
Wakati mwingine kushindwa kudhibiti mihemko Kama hasira inadhihirisha ni kwa namna ulivyo na upeo mdogo

Halafu unapata faida gan kumtukana mtu ambae hata humjui??

Na swala la kuandamana

Kwani ukiandamana ndo Maisha mengine yasiendelee
 
Kabla ya yote niwashukuru kwa kuitikia muitiko huu

Sasa tunaweza kuketi ili tuanze kikao

Bila kuwachosha .

Kuna kitu nilihitaji majibu kutoka kwenu wanaume

Imetokea kwenye harakati zako za utafutaji uko na rafiki yako ambae mmeshibana ghafla mkatofautiana na kuanza kuvutana Mara ugomvi huo

Halafu kumbe mtu mwenyewe Ana magonjwa ya muda mrefu yanamsumbua, umemgusa kidogo unashangaa amedondoka chini

Unafanya jitihada za kumuwahisha hospitalini mmefika huko

Ripoti ya daktari inaeleza mtu amefariki.

Ghafla unaanza kuonekana muuwaji, unakuja unakamatwa unawekwa ndani

Hakimu anatoa hukumu kwamba unatakiwa ufungwe kifungo Cha Maisha

Mkeo kupata taarifa ananyong'onyea anawaza namna gani atakusaidia.

Mkeo anaamua kutembea na hakimu ili wewe usifungwe

Je. Huyo atakuwa ndo mke bora kwako?

Yapi maoni yako karibu
Hizi soga achana nazo kwanza nchi bado haija kombolewa. Tutazikuta baada ya ukombozi 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom