Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Mwanamke anampenda mwanaume kwa kumzoea.
Wanawake wengi wanawasaliti wanaume wao kwa sababu ya ubusy wao na kupelekea kukosa muda wa kukaa kalibu muda mlefu na wake zao na kusababisha mwanamke kuhisi hapendwi ,kwahiyo akipata mwanaume mwingine aliemzoea ni lahisi kuingia kwenye mapenzi nae.
Nashauli:WANAUME WAJITAHIDI KUTENGA MUDA WA KUKAA KALIBU NA WENZA WAO,WAASIENDEKEZE KUA BUSY SAANA.
Mwanaume anampenda mwanamke kwa kuvutiwa nae.
Hapa anaweza Kivutiwanae kwa maumbule yake,anavyoongea au kuzungumza, matendo yake nk.
Kwahiyo kama mwanaume amekupenda hivyo ulivyo basi usijaribu kuanza kujichetua kitabia kamavile kuanza kutoa maneno ya kumkela mwenzio,usijalibu kuanza kujibadilisha maumbile yako ,JITAHIDI KUBAKI VILEVILE KAMA ULIVYOKUTANA NA WEWE MWANZONI.
Maana wadada wa sikuhizi mkibahatika kupata wanaume wenye uwezo wa pesa kidogo unataka kuanza kujibadilisha,mwanaume anakwambia sitaki ujichubue,uvae mawigi nk.
Wewe unabisha unaanza kujilekebisha ,MBAYA ZAIDI UTAKUTA MWANAMKE UNAISHI MBAGARA LAKINI UNATOKA UNAENDA KUTENGENEZA NYWERE NA KUCHA MWENGE,ILI KUWALINGISHIA WENZIO.UNAFIKILI KWANINI MWANAUME ASITONGOZE WENGINE?
"WANAWAKE JITAMBUENI"