Mmmh... JF humu kuna meengi..! Kuna siku nami nitayasema niliyokutana nayo..! Lol

Humu kuna mikasa mingi sana ilishawahi kuzungumzwa.
Kuweni makini hasa kwa wale mnao-entertain urafiki wa kibaby baby!
Wapendwa kuna mwanaume tumefahamiana hapa jf, nikijana wa makamu, anaweza akawa karibia 40, tulivyokutana alinisimulia mikasa kibao ambayo wasichana wamemtenda na mimi nilimpa yangu maana alivyoanza kuchat namimi aliniambia ananionea huruma mikasa mingi ilivyoniandama, akaniambia yeye yupo tayari kunioa no matter what mh nikashukuru Mungu kaniona namshangaa aninishawishi nihamie nyumbani kwake kabla hata hatujahalalisha, kaka zangu na dada zangu hiyo ni sawa kweli?