Wanaume naombeni jibu

inatakiwa usikubali tena akija arudie getini, ila bidada inatakiwa uwe na uhakika kuwa kweli alikuwa na kimwana mwingine na huyo bi mdogo ndie alisababisha utukanwe maana yawezekana jamaa alikuwa na stress ambazo kwa namna moja au nyingine alihitaji ukaribu wako then wewe unakona amenyuti ukafikiri ana kimwana mwingine.
 

Alaah....Sikuwa najua kama ndio hivyo
 
Mh...!!! Mzee mzima sijui nitajiteteaje leo..?? Ngoja kwanza nilipeleke suala hili mahakamani ili iwe vigumu kulijadili...

Afadhali uje uku tuyamalize kiutu uzima....huko mahakamani utashindwa tu. Hiyo ni uhakika mia kwa mia.
 
Afadhali uje uku tuyamalize kiutu uzima....huko mahakamani utashindwa tu. Hiyo ni uhakika mia kwa mia.



Najua nitashindwa lakini mahakama itanisaidia kuvuta muda si unajua suala likishafikishwa mahakamani halijadiliwi na linaweza kukaa mahakamani hata miaka kumi...hahahahaha
 
Reactions: LD
anatuma msg au anapiga kabisa tena anavizia akiwa na huyo bi mdogo, utasikia sauti ya kike " mwambie kuwa humtaki tena uko na mm" mmmmmmmmmmh ilibidi nikae kandoooo
 
huyo anataka uchi wako tu thus why anakuomba msamaha,chezea man ww
 

Na hao ma bf wazamani wakirudi unawakubali? Chunga sana watakuletea gonjwa baya aka UKIMWI!
 
Through uzoefu, wapenzi huwa hawaachani haaaaaata!! Ila tu hitilafu ndiyo hutokea ndiyo utakuta matusi, kashfa nk. Kama wewe unafikri kuna kuachana unadhani kwa nini huwa wanarudi? Na nadhani wakirudi huendelea kujimuvuzisha nao, si ndiyoeee! Pia fahamu kuwa kule alikokuwa pia hajaacha ila ni pause tu la muda au mtakuwa mnapangiwa ratiba tu na kote mtaendelea kuichakachua ile amri MOLA wetu inayokataza UZINZI.

WARNING: UZINZI NA UASHERATI NI HATARI KWA MAISHA YAKO YA DUNIAN NA AKHERA PIA.
 



kawaida ukiwa na mpenzi wako lazima awe anapajua nyumbani, na sisi wanawake tukipenda tumependa kweli, so mwenzio unamwonyesha kwako baadae anakugeuka tena na inakuwa kero, kwa kawaida nikiamka tu asbh saa 11 nakwenda kuoga ili nijiandae kwenye kazini namkuta kalala mlangoni kwangu na ninampita kama simjui. nimeshamwonyesha kila dalili na kutotaka tena kurudiana nae na ikafikia hatua akipiga simu nampa mwanaume yeyte tu apokee ili akate tamaa laki waaapi mwendo ni ule ule.
 


Alaah kumbeee!mnapause huku mnarudi huku! nimekupata kaka yangu asante sanaa i ddnt know that.huwa sina muda wa kurudiana nao coz muda ambao wanarudi nakuwa nimeshapata muda mwingine
 

Hapo kwenye red dada! Chunga virusi, Utakufa. Inaelekea kutoa tundi kwako ni kawaida sana
 
Na hao ma bf wazamani wakirudi unawakubali? Chunga sana watakuletea gonjwa baya aka UKIMWI!


sina time nao na sijawahi rudiana na mtu niliachana nae kwani wakirudi huwa wananikuta na bf mpya, bt mm naona ni usumbufu sana kwangu
 
Hao wanakurupuka, hawakufikiri kabla ya kutenda, ukisha hamisha majeshi haupaswi kurudi nyuma, utakuwa umelamba matapishi yako mwenyewe.


Kweli kabisa kamanda wangu'mimi sijawahi kwenda mbele halafu nirudi nyuma nikosonga nasonga tu
 
Mimi sijawahi kugeuka jiwe yaani kuacha mwanamke na baadaye kurudi kuomba msamaha. Tusubiri wenye uzoefu huo waje watujuze.
 
Alaah kumbeee!mnapause huku mnarudi huku! nimekupata kaka yangu asante sanaa i ddnt know that.huwa sina muda wa kurudiana nao coz muda ambao wanarudi nakuwa nimeshapata muda mwingine

sasa huyo sio mwanamume huyo ni yuleee...GUME GUMEE.. muulize ADJA SHABA...atakupa sumu ya ilo njemba umempa kidogo kalewa je ukimpa yote si atakua HAYATI huyo..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…