MADIDINGWA
Senior Member
- Jul 26, 2012
- 118
- 15
Habari zenu wana JF.
Hili jambo linanitatiza sana, nimeona leo niliweke hapa ili niweze jua na kupata pia mawazo yenu, mwanaume akipata gf mpya anamtusi yule wa zamani, tena baada ya muda anarudi kuomba samahani eti muendelee na mahusiano kama hapo awali, hv huwa mnakosa nini huko mlikokwenda na kurudi tena mlikotoka? hebu nisaidien jamani mm kwangu imekuwa hvyo, kila nikiachana na bf lazima atarudi tu kuomba samahani ili tuendelee haijalishi ni muda gani umepita.
Hapa sina cha kuchangia kwani katika xperience yangu sikumbuki kama nimewahi kuachana na GF wangu hata mmoja ila ni mambo tofauti tofauti tu yanayotufanya tuwe mbali mbali na mara zote kila nikikutana na wa zamani huwa milango iko wazi kukumbushia au kuendeleza mahusiano kutegemea na wasifu wa muhusika kwa wakati huo.Kwa hiyo huwa ninaona wanaowakashifu wapenzi wao baada ya kuachana ni kama vile wanajipunguzia eneo la mawindo..
Wewe ni mwanaume?We ni mzee wa mtandao!
Wewe nawe nanihiu...mwanaume?Ukimuona mtu anamtusi x wake hafai
Huyo ni limbukeni mwanamme mtaalam atahakikisha anawahandle wote mpaka atakapoona nani anamfaa ndo anatema mmoja,
nahene