Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,794 Reaction score 12,623 Mar 23, 2016 #2 safi hiyo
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Mar 23, 2016 #3 Safi sana.....
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,194 Reaction score 25,535 Mar 23, 2016 #4 Hahahaaa..... yaani amejuwa kuielezea gari kuliko mke wake.
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8,133 Reaction score 12,402 Mar 23, 2016 #5 Yawezekana mke mwenyewe alikuwa kimeo.
Ashura9 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 740 Reaction score 485 Mar 24, 2016 Thread starter #6 EMMYGUY said: Hahahaaa..... yaani amejuwa kuielezea gari kuliko mke wake. Click to expand... umeona eeeh!!! anajali gari kuliko mke ndio manake
EMMYGUY said: Hahahaaa..... yaani amejuwa kuielezea gari kuliko mke wake. Click to expand... umeona eeeh!!! anajali gari kuliko mke ndio manake
Ashura9 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 740 Reaction score 485 Mar 24, 2016 Thread starter #7 Yaani mwandishi anatoa ujumbe kuwa wanaume mna tendency ya kujali zaidi magari yenu kuliko wake zenu ambao ndio maisha yenuu
Yaani mwandishi anatoa ujumbe kuwa wanaume mna tendency ya kujali zaidi magari yenu kuliko wake zenu ambao ndio maisha yenuu
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,194 Reaction score 25,535 Mar 24, 2016 #8 Ashura9 said: umeona eeeh!!! anajali gari kuliko mke ndio manake Click to expand... Tehe tehee....
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Mar 24, 2016 #9 Ashura9 said: Yaani mwandishi anatoa ujumbe kuwa wanaume mna tendency ya kujali zaidi magari yenu kuliko wake zenu ambao ndio maisha yenuu Click to expand... Nawasi wasi hata inspector nae ni mwanaume... kamwambia asihofu atalipata tu hilo gari lake. safi sana!
Ashura9 said: Yaani mwandishi anatoa ujumbe kuwa wanaume mna tendency ya kujali zaidi magari yenu kuliko wake zenu ambao ndio maisha yenuu Click to expand... Nawasi wasi hata inspector nae ni mwanaume... kamwambia asihofu atalipata tu hilo gari lake. safi sana!