Wanaume Nani kawaloga.?????

pole sana.... mumeo anaogopa akikuanzishia biashara utaanza kuhonga vimada vyako vya kiume. we kaa home tu.
 
Yakishawakuta ndio mnakuja kulalamika humu....kaombe mkopo bank
 
Ukiona hivyo, ujue huyo jamaa ashamsoma tabia mke wake na sasa
anaogopa anaweza akapata kipato kikubwa mbeleni, halafu akaanza dharau ndani ya nyumba..

maana nyie hata hamnaga maana muda mwingine
Sasa akimfaidisha kimada atapaata faida gani. Wakati akimfaidisha mkeo hata akiwa hayupo watoto watasoma Vizuri tu....
 
Inategemea, inawezekana keshakusoma akikupatia mtaji unakuwa na jeuri na kiburi. Na hata inaweza kuwa ndio mwisho wa upendo ndani ya nyumba. Kwa hiyo ni bora aupatie mchepuko unao-printed kumpenda.
 
Hapa ndo utawaelewa wale wanawake wanaosema mume wao ni kazi zao
 
Inategemea, inawezekana keshakusoma akikupatia mtaji unakuwa na jeuri na kiburi. Na hata inaweza kuwa ndio mwisho wa upendo ndani ya nyumba. Kwa hiyo ni bora aupatie mchepuko unao-printed kumpenda.
Je siku ukiwa huna hela mchepuko utakupenda??. Ifike hatua mbadilike ..
 
Je siku ukiwa huna hela mchepuko utakupenda??. Ifike hatua mbadilike ..
Hata wewe nikikupa mtaji unanigeuka, unajaa kiburi na ufedhuli juu yangu. Bas hata kama mchepuko hautanipenda hakuna tatizo provided wewe pia utaishia huko huko.
 
Hata wewe nikikupa mtaji unanigeuka, unajaa kiburi na ufedhuli juu yangu. Bas hata kama mchepuko hautanipenda hakuna tatizo provided wewe pia utaishia huko huko.
Fikiria sasa mna watoto na mkeo
 
Tumerogwa na kimada ambaye ni mwanamke kama wewe. Sasa tuseme tumerogwa na wanawake.
Endelea kulogwa ikiwezekana hamia kabisa kwa kimada. Siku ukijashituka .utakuta nyumbani Kwao kumeteketea. Na watoto wameacha shule kabisa kwa kukosa Ada.
 
Fikiria sasa mna watoto na mkeo
Inategemea, hakuna mwanaume anaweza kushindwa mwendeleza mke mwenye discipline. Pale unapoona mume anakuwa na mchepuko basi inabidi ujitafakari sana wewe mwanamama labda huyo mume awe na asili ya ukicheche tokea awali.
 
"its not lack of love [emoji173]️, but lack of friendship that makes unhappy [emoji17] marriage " - friedrick nietzche
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…