dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
pole sana.... mumeo anaogopa akikuanzishia biashara utaanza kuhonga vimada vyako vya kiume. we kaa home tu.
Sasa akimfaidisha kimada atapaata faida gani. Wakati akimfaidisha mkeo hata akiwa hayupo watoto watasoma Vizuri tu....Ukiona hivyo, ujue huyo jamaa ashamsoma tabia mke wake na sasa
anaogopa anaweza akapata kipato kikubwa mbeleni, halafu akaanza dharau ndani ya nyumba..
maana nyie hata hamnaga maana muda mwingine
Hayajanikuta ila nimeshuhudia wanawake wenzangu yakiwapataYakishawakuta ndio mnakuja kulalamika humu....kaombe mkopo bank
Hongera. Endelea... Siku utakutafaidikaHatujalogwa ni hiyo mitego yenu ndio inatuvuta
Sio Mimi mku ila nimeshuhudia kwa jirani. Ndo kafanyiwa hivipole sana.... mumeo anaogopa akikuanzishia biashara utaanza kuhonga vimada vyako vya kiume. we kaa home tu.
Jirani Kakutana nayoPole sana kama umekutana na hiyo kadhia.
Asante kwa niaba ya wanawake wenzanguPole sana dada tutabadilika aisee
Inategemea, inawezekana keshakusoma akikupatia mtaji unakuwa na jeuri na kiburi. Na hata inaweza kuwa ndio mwisho wa upendo ndani ya nyumba. Kwa hiyo ni bora aupatie mchepuko unao-printed kumpenda.Habari zenu ::
NI BAADHI YENU LAKINI.
Unakuta mwanaume ana familia yake nyumbani, na si kwamba ni kimada tu Hapana ( ni MKE WAKE WA NDOA KABISA)
Lakini unakuta mwanamke wake hana kazi,
labda aliacha kazi baada ya majukumu ya familia..
Lakini baada ya majukumu Kuisha na kuhangaika kuomba kazi na kukosa,
Inabidi sasa aombe mtaji kwa mumewe.lakini mwanaume huyo atamwambia Sina hela.
Na mwanaume huyohuyo yupo radhi amfungulie kimada biashara, Na kumwacha mkewe awe goli kipa,
Bila kujua ipo siku familia itahitaji Msaada. Na wewe kama baba utakuwa haupo. Kama ungemwezesha mke wako kibiashara.,
familia isingetetereka.
Badilikeni jamani,,, vimada wanakupenda wewe pindi uwapo na hela tu. Ukiishiwa nae anakata mawasiliano na wewe.
Lakini mke wako atakuwa nawe kwa Hali yoyote ile... .
Je siku ukiwa huna hela mchepuko utakupenda??. Ifike hatua mbadilike ..Inategemea, inawezekana keshakusoma akikupatia mtaji unakuwa na jeuri na kiburi. Na hata inaweza kuwa ndio mwisho wa upendo ndani ya nyumba. Kwa hiyo ni bora aupatie mchepuko unao-printed kumpenda.
Hata wewe nikikupa mtaji unanigeuka, unajaa kiburi na ufedhuli juu yangu. Bas hata kama mchepuko hautanipenda hakuna tatizo provided wewe pia utaishia huko huko.Je siku ukiwa huna hela mchepuko utakupenda??. Ifike hatua mbadilike ..
Fikiria sasa mna watoto na mkeoHata wewe nikikupa mtaji unanigeuka, unajaa kiburi na ufedhuli juu yangu. Bas hata kama mchepuko hautanipenda hakuna tatizo provided wewe pia utaishia huko huko.
InawezekanaDah,,, hivi wanaume tumelogwa eeh,,,?
Endelea kulogwa ikiwezekana hamia kabisa kwa kimada. Siku ukijashituka .utakuta nyumbani Kwao kumeteketea. Na watoto wameacha shule kabisa kwa kukosa Ada.Tumerogwa na kimada ambaye ni mwanamke kama wewe. Sasa tuseme tumerogwa na wanawake.
Inategemea, hakuna mwanaume anaweza kushindwa mwendeleza mke mwenye discipline. Pale unapoona mume anakuwa na mchepuko basi inabidi ujitafakari sana wewe mwanamama labda huyo mume awe na asili ya ukicheche tokea awali.Fikiria sasa mna watoto na mkeo