Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
Habari zenu ::
NI BAADHI YENU LAKINI.
Unakuta mwanaume ana familia yake nyumbani, na si kwamba ni kimada tu Hapana ( ni MKE WAKE WA NDOA KABISA)
Lakini unakuta mwanamke wake hana kazi,
labda aliacha kazi baada ya majukumu ya familia..
Lakini baada ya majukumu Kuisha na kuhangaika kuomba kazi na kukosa,
Inabidi sasa aombe mtaji kwa mumewe.lakini mwanaume huyo atamwambia Sina hela.
Na mwanaume huyohuyo yupo radhi amfungulie kimada biashara, Na kumwacha mkewe awe goli kipa,
Bila kujua ipo siku familia itahitaji Msaada. Na wewe kama baba utakuwa haupo. Kama ungemwezesha mke wako kibiashara.,
familia isingetetereka.
Badilikeni jamani,,, vimada wanakupenda wewe pindi uwapo na hela tu. Ukiishiwa nae anakata mawasiliano na wewe.
Lakini mke wako atakuwa nawe kwa Hali yoyote ile... .