Mwanaume ni sawa na kunguru hata umfuge vip porin atarudi tu.
Mwanamke uliyenaye anaweza kuwa na kila sifa ya uzur na ndani ni aman kabisa lakin akikatiza mwngine lazma anyakuliwe hata kama hana sifa kama za mke wake.
Najiuliza sana sijui kwann hii hali imetukumba sana wanaume
kwahiyo unanishushua au?umemalizia vizuri mbona wewe huwezi, sasa wewe ni yeye?
tatizo kubwa ni MACHO mkuu, tukiweza kuyadhibiti basi, wakristo tumeagizwa tung'oe viungo vinavyotupeka jehanamu kwa kuwa ni heri kupoteza kiungo kimoja kuliko kuangamiza mwili mzima.
naomba nikufundishe kuchepuka...inasaidia sana kwenye foleniYaani nachukia kusika habari za michepuko,kuchepuka....jamani hebu ifike mwisho tuache hizo mambo....
Mbona mi siwezi kuchepuka??? ooooh mamaaa.....:loco::loco:
Kuna tofauti kubwa sana kati ya paka anayetafutiwa na apaka anayejitafutia...
Kati ya hao nani anayeweza chepuka kumzidi mwenzie?
Paka wa mijini wanalazimishwa kabisa kukimbiza panya..
(lugha ya sanaa hii... Ujumbe usadifu yaliyomo!)
Mi sio paka mkuu, ni binadamu wa kawaida tu
mkuu sijasema wewe ni nyauuuuu, hapana bali tabia hiyo ya wanaume inafanana kabisa na ya nyauuuuuu.