Mwenzenu nina kitu fulani, sifahamu kama ni tatizo ama laa!! hili ni jambo linalopelekea mpaka huwa nashidwa kutongoza sehemu ya wazi. Kama barabarani, kwenye bus, kwa ujumla ni sehemu zenye mwanga.
Nikianza tu kuongea na mwanamke athumani sina kofia anakasirika mithili ya mbogo aliye jeruliwa na kusimama wima mithili ya nguzo ya umeme. Jambo ambalo inanilazimu nimkimbie mwanamke haraka sana kabla sijaaibika. Ukweli siku zote nashidwa kufikia muhafaka dhamira yangu.
Wenzangu hii inawatokea wote au kwangu ni ugojwa??