Wanaume na minywele

kui inaonekana you are an expert in giving head...kama kibogoyo...hongera dear
 

Bwana ako ndo mchafu... si wengine viparaaaa
 

Ku-trim tena? Wanawake wenzako wanazipenda mno,uliza wenzio,
 

Kule kwetu neno KUI ni MBWA sasa sijui kama ulimaanisha hivyo kwenye ID yako... otherwyz ni ushauri mzuri.
 

hahahaa, jana ulichukuliwa chipsi funga ukakutana na kitu cha ajabu nn?!!..pole.
 
kwani hizo nywele wanawake hamna? Mbona kunawengine ni vichaka, na wanawake wengine wanamisitu kbsa

Mdogowangu alintia aibu baada ya kubeba ndoo ya maji akiwa kavaa top ya kukata mikono.mayo mavu- za kwapa unaweza funga butu moja bilashida
 
Reactions: kui
mi huku chini sifikii.... natafuta mdada mzuri mzuri wa kunisaidia kuyatoa lol!!!
 
Inaonekana unafanya shughuli ambayo inakulazimu kukutana n sehemu z siri z wanaume tofauti tofauti, sijui kama unajikinga n maradhi mbali mbali ambayo kutoka sehemu hizo; kwangu Mimi nadhani ndiyo jambo kubwa la kuzingatia kuliko muonekano w mhusika mwenzako. Ukizingatia "yeye" akishakuwa "hard"(interested) basi nadhani mambo yatakwenda vizuri!!
 

Nashukuru kwa kunikumbusha aisee niljisahau. Big up!
 
Reactions: kui
Ushwapiga chabo wanaume wangapi bi mkubwa?
 
Ukikuta mme ni mchafu bhas mke ni mchafu zaidi so lawama kwenu madada........Kama anafuga huko chini bhasi ww ni mchafu zaidi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…