Wanaume na michepuko yao

njia kuu moja mchepuko mmoja hapo ndio utaishi maisha ya raha ya mahusiano. huku kikinuka unaenda zako kujipumzisha upande wa pili.
 

kuchepuka si vibaya ila mchepukaji ajari ajali familiya yake ipasavyo.kuna michepuko mizuri asikwambie mtu
 
RETURN LAZIMAAAA GIVEN THE LEVEL OF RISK INVOLVED! Are you kidding me! Maana wasema THE HIGHER THE RISK THE HIGHER THE RETURNS! Ila Dr. Haya utayajulia wapi umezoea kushika sirinji na bomba za sindano! Hahaaaaaa!

Aiseeee sidhani kama umenielewa.
 

what? eti hakuna jipya? wew labda kwako we acha tu mchepuko taamu yaan unamkaribisha kuanzia getin... baba baba baba karibu baba baba ulikuwa wap baba hapo unamvua koti etc kumbuka haamjafika ndan???
 

Haya mama,tumekusikia. Hata hivyo mimi nami nimekuwa nikitafuta mchepuko longtime, naona wewe utanifaa sababu hutoumiza familia yangu.
 
Wanyama "hayawani" huongozwa na silika "instincts" mwanadamu huendeshwa na roho pamoja na mind. Acheni kupamba uzinzi na uasherati kwa neno "mchepuko"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…