Mapenzi bongo kama umeme wa mgao, usipokuwa na kijenereta unaumbukaaaa! Ukizimaa paaa utachina gizani! Mambo yote kijenereta! Ukizima tu we unawasha huku! Full mwanga mwanzo mwenga! MICHEPUKOOOOOOOO OYEEEEEEEEEEE! Ubaki njia kuu kwani we semitrella? Kwanza utaishije kwa mkate tu?
Jamani ID yangu imekuwa hacked na mwenyekiti wa michepuko!
Michepuko inakupenda ukiwa nazo na ukiwa unatoa usipo kuwa nazo haikutambui…
Pili Usiwe na hela halafu siku upate tatizo usiwe na kazi muda mrefu uone km utakuthamini , utarudi kwa mkeooo…
Unaangaika huko njeee, mwenyekuja kukushughulikia ukiumwa ni mkeo.
Mwenyekukulelea watoto wako mkeo..kwanini usimthamini huyu mkeo, familia kwanza hata km unamchepuko usiuthamini km unavyothamini familia yako…
Utakuta mke hana gari ila utamnunulia mchepuko gari…
Huyu huyu mchepuko utakuta anakuchunaaa kumbe ana kidume chake pembeni ambacho wanajiandaa ndio kuja kuoana anakuja faidi mwingineeee…
Halafu michepuko mingine inatumia Limbwata…Wewe utakuta unatesa familiaaa, unaisahau familia kbsaaa hata kupelekea kumpiga mkeo, kumtukana mkeo kisa mchepuko…siku ya siku unarudi kwa mkeo huna hata senti mfukoni, umefulia km mbwa pori…
Jamani hivi nyinyi hamuoni mifanooo? lol
Wanaume wengine walivyobwege wataruhusu mchepuko kupiga cm hata usiku akiwa amelala na mkewe...Kumtukana mkewe...
Kwanini msiwafunze kuwa uwapo nyumbani asipige cm...? Waheshimuni wake zenuuu
Ha ha ha ha ha amakweliii michepukoo rahaaa nisipoo muonga mm nani mwinginee amwongeee au afeee njaaa nayee jmn mchepukooo.wanawakee wenginee mnasababishaa wanaumeee tuchepukee
Ha ha ha ha ha amakweliii michepukoo rahaaa nisipoo muonga mm nani mwinginee amwongeee au afeee njaaa nayee jmn mchepukooo.wanawakee wenginee mnasababishaa wanaumeee tuchepukee
Na kutoa mechi kama DOZI mambo ya MAKE SURE YOU DONT OVER DOSE ON THE COOL! :cool2::cool2::cool2:Kuwa na Kidumu muhimu,tanki kuu mna viburi sana kununa, kusema umechoka
Kuwa na Kidumu muhimu,tanki kuu mna viburi sana kununa, kusema umechoka
kwa kweli ana stress anaponda wanaume tu tangu anaamka
halafu mnayoyapractise huko mnataka kuja kuyaleta nyumbani....Hujui unamharibu mkeo? Huyo uliyojaribu nae ye hajithamini, pengine hana mpango wa kuja kuzaa ndio maana ...Labour ni sheeder aibuuu inakuwa na wewe pia unaonekana hufai huna maana......(Ktk hili nahisi utakuwa umelifahamu jambo gani)
michepuko ipo na itaendelea kuwepo
tabia ya ntu na ntu....
kIkubwa kuwaombea waume/wachumb zetu wawe na hofu ya MUNGU
Ahaaaaa nimeshajuaaa....kumbe na ninyi mnavyoponda wanawake zinakuwaga stress.....