Wanaume na kuvisha wadada pete 'uchwara' za uchumba

Wanaume na kuvisha wadada pete 'uchwara' za uchumba

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,273
Reaction score
25,303
Habari wakuu,

Tulikuwa napika story na mashoti zangu, sasa wao bado hajaolewa.

Mmoja wao akasema jamani saivi kumezuka katabia ka wanaume baadhi kuvisha wadada pete za uchumba za bei chee 'uchwara'.

Sasa mimi nikiolewa niko radhi niongezee hela nivae pete ya ukweli sio kipete 'uchwara' ambacho baadae hakitakuwa na thamani yeyote.

Yani nilijisikia vibaya kwakuwa mimi nimeolewa na nimevishwa pete ya kawaida.

Wadau mnalionaje hili?


Nb: Wanaume mnaooa sasa mnachangamoto kubwa...
 
Ndio mana wanaume wenyewe wanaona kuoa ni kibarua kigumu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti pete uchwara. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika ujinga niliouona chini ya jua ni ufahari wakati kwenu ni msituni. Unataka pete ya million wakati ukija home uje kulala njaa.
Badala ya pete ya ufahari, nunueni samani mpya ya kuingia nyumba yenu nadhani huo ndo ufahari. Vijana wengi mnaoana huku mnakaa vijumba vya kupanga!! Its a shame man.
 
unataka pete ya bei gani mdada

baada ya kushukuru umeolewa unaanza kusijisikia vibaya tena
 
Tatizo linakuja baadhi ulazimisha ndoa ndo maana
anaamua kumvisha hyo Pete unayoita uchwara kulidhisha nafsi.
 
Pete?

Katika vitu sijawahi kufikiria kuvaa maishani mwangu ni pete. Na mwanamke yoyote atakaetaka nimvishe pete naachana nae fasta.

What is that fucken shit pete?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom