Wanaume na hali hii ngumu

Kama kula yako inategemea uhongwe pole sana maana hizo private parts zako zitapata tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usidanganye wenzio wakarukishwa ukuta kwa kuamini watahongwa.. hamna huo upuuzi. Wanaume wenyewe wanakwambia siku hizi wanapewa bureeee tena bila kuomba ndo useme alipie kalio?

Sema mzee baba anakaza kweli mabf zetu wanapunguza kutunza kisa biashara mbovu
 
katika ubora wako!
 
Huyu demu huwa simuelewagi, mpangilio wa maneno mbaya, content haieleweki. Wanaume tuna kazi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…