katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Tunajua hadi wanaume wanafanikiwa wakiwa wanatoa huko so ni dhahiri kuwa ndio habari ya mujini.Labda aruke ukuta ndio atapewa nyingi, ushajaribu na ukapewa nyingi?
MmefuliaKwaiyo lengo la mada ni nini?
Astakhafulilh walahi ati?Tunajua hadi wanaume wanafanikiwa wakiwa wanatoa huko so ni dhahiri kuwa ndio habari ya mujini.
Usishangae ndio habari ya mujini kwa sasa ndugu wakaka ni wadadaAstakhafulilh walahi ati?
Mupenzi wangu hayupo Arusha Mujini mwaya yupo mbali sana.Juzi ulikuja na Uzi wa kumpamba na kumsufia, Jana kavuta za mwisho wa mwezi hakukutoa. Leo umekuja na Uzi wa kulalamika kuwa wanaume wagumu kuhonga, pole sana kwa magumu unayopitia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mvua hizi nani akupe hela wakati umeleta ugali mwenyewe bila kuitwa
Weee hujui kuruka ukuta ??Kuruka ukuta ndo kufanyeje?? Na huo ukuta wa course ngapi??
Sijui mkuuWeee hujui kuruka ukuta ??