Wanaume muwe mnajiongeza basi

Nyie wenyewe ndo mnajirahisisha ..so lazima mliwe bure ..then unapaswa kujua sio kila mwanaume unapokua naye kwenye relationship anakuchukulia serious wengine wanawachukulia nyie km vipoozeo vya kupunguza maugwadu ...
 
Nakazia tena kwa misumari mikubwa kabisa....waache ubahili...wanajua kuuliza "bby utakuja lini sasa" ila kwenye matunzo mpaka RB ihusike......wanaume mjiongeze msiiieeew mnakeraaaaa wengine hatujui kuomba ila kutunzwa tunapenda
Mnataka kutunzwa vipi nyie wenyewe mnajitunza ..km kuzingatia usafi...kui maintain papuchi ..au mnaomba tuu pesa wakat maeneo kule hali c hali
 
Nadhani umesikika
 
Njoo huku, Wa zamani bado nipo.
 
Namimi ndo namshangaa huyu binti mapenzi ya zamani yalikuwa cheap sana wnawake hawakuwa na mahitaji mengi kama sasa mitandao ya kijamii imeharibu mtindo wa maisha mana zamani kiwango cha mwisho kuhonga ni simu tochi smartphone bado hazijaingia wanawake wa zamani walikuwa wavumilivu mana wakiolewa walikuwa wanakubali kuanza kulala ata chini
ushauri wangu wakina dada ukiona mahitaji yako ni makubwa unataka uishi maisha ya usister du tafuta zingine mwenyew jiongeze usisubiri kuletewa tu mtabaki mnatulaumu tu tukiwaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…