Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,289
- 4,648
π π π πChristmas yako inakuja na kukata pole sana
Hgdf jkli darhvha kizito kichwani pole sana!.πKama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!
Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!π₯
Haya basi achana na hilo, sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!π
Sio mpango wala nini!
Uzi tayari.
Asante.. skukuu yangu ipo palepale hamna kilichokata..Christmas yako inakuja na kukata pole sana
Watu wapo makini aseeMwendo mperaaaa mperaaa
Tena wewe ndo usnambie kituππ wewe ndo sababu ya yote haya hadi sjapokea sim yako janaππHgdf jkli darhvha kizito kichwani pole sana!.π
Kwangu kimetua shingoni mkuuπPale kitu kizito kinapotua si kwingine bali kichwani....paaah!!!
Ghkj dfag ktfh yamekuwa hayo Tena mi mbona ghdfs vjsfd hata sijui!Tena wewe ndo usnambie kituππ wewe ndo sababu ya yote haya hadi sjapokea sim yako janaππ
Kwangu kimetua shingoni mkuuπ
Hujui eeh.. si ulikua unaomba nipigwe na kitu wewe?π haya maombi yako yamejibiwaπGhkj dfag ktfh yamekuwa hayo Tena mi mbona ghdfs vjsfd hata sijui!
Kwa hiyo nguo zangu sizijui dahπItakua ulikuta nguo zako pole weee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naomba nikutakie kilisimathi njema mi Sitaki kurogwa..πHujui eeh.. si ulikua unaomba nipigwe na kitu wewe?π haya maombi yako yamejibiwaπ
Nyie wanawake mnajua mnnajitafutiaga stress za bure tuu...mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja wee tulia ikiwa zamu yako furahiaKama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!
Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!π₯
Haya basi achana na hilo, sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!π
Sio mpango wala nini!
Uzi tayari.
"Mwambie huyo" akaropoka mlevi mmoja..π€£Nyie wanawake mnajua mnnajitafutiaga stress za bure tuu...mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja wee tulia ikiwa zamu yako furahia
Mizimu imegoma kuja?πNaomba nikutakie kilisimathi njema mi Sitaki kurogwa..π