Wanaume Mungu anatuona katika hili

Wanaume Mungu anatuona katika hili

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
666
Reaction score
983
Unakuta umeingia na mrembo ndani bila kumpanga kama unataka penzi matokeo yake unamshikashika alafu askari kichwa anasimama..mtoto wa watu anakuambia hayupo tayari kusex.. unaanza kujifanya unaweka sura ya huruma huku unajifanya unaumia kutokana na mashine kusimama..tena mpaka machoz yanakulenga eti maumivu yamezidi dushe linauma..maskini madada kwakua hawajui anajikuta anakupa ili usiendelee kuumia..anajikuta analiwa wakati ni wizi mtupu,,😂😂😂
 
Back
Top Bottom