Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwake,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote jamani, mie naomba nije kukusalimia na nipo tayari kulala guest house.Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili zako mtu achome nauli ili tu mpige story? Hakuna hela inayopotea bureMmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani si anavumilia tu siku zinazokuja huenda zikawa nzuri,haraka ya nini?Uwe na huruma. Km700+ si mchezo. Hata mimi sikubali. Kwani we wakati anakuja hukujua kuwa ataomba mchezo?
Yan km 700+ aje kupiga stori tuu? Stori hata kwa simu si mnapiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili zako mtu achome nauli ili tu mpige story? Hakuna hela inayopotea bure
If you work for living then why do you kill yourself working?
Hivi dar hadi Arsh ni Km ngapi??Uwe na huruma. Km700+ si mchezo. Hata mimi sikubali. Kwani we wakati anakuja hukujua kuwa ataomba mchezo?
Yan km 700+ aje kupiga stori tuu? Stori hata kwa simu si mnapiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote demiss JamanAkija jf lazima akuandikie uzi akupondeee mashetaniii tu nyie wanaume mxeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah,! Aya bwanaSio wote jamani, mie naomba nije kukusalimia na nipo tayari kulala guest house.
Haraka ya nini na huku ndege wa kwako?Kwa akili zako mtu achome nauli ili tu mpige story? Hakuna hela inayopotea bure
If you work for living then why do you kill yourself working?
Km 720 aje kupiga story! Inawezekana lakiniHahahahaha. Ameshajikoki ale papa halafu unamwambia habari gani???[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ndiyo wanaume bhana.
HapanaJamani si anavumilia tu siku zinazokuja huenda zikawa nzuri,haraka ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wa jf wana tabia nzuri mno,Akija jf lazima akuandikie uzi akupondeee mashetaniii tu nyie wanaume mxeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app