Miss_Irene
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 320
- 456
Nawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani mwanaume hawajui kucheza na hakili zetu(kina-dada)
Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?
Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijari siku mpaka siku
Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile
Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambilia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!
Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
Huo ndiyo ukweli.
Hata ukishambuliwa ila ujumbe umefika.
Kwanza kuanza kuuliza," umenikubalia au vipi ombi langu " Ni uzamani kidogo.
Kuna maombi mengine yanakubaliwa automatically; hayahitaji maswali ya ndiyo au hapana.
U Know how much i love youUmeonaaa eeeh yan mm mwenyewe sipendag huo ushambaaa tena upo sana humu jf
Mi naona kama wewe ndio una stress kiasi unatupangia namna ya kukutongoza. Sura yako na shepu havimpi mwanaume hamu ya kuprolong mambo yawe mareeefu, we kama umekubali jibu, kama hutaki si basi...hadi uje ulalamike?Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
U Know how much i love you
Haya ngoja nikupeleke lunch utakuwa umeshakubaliNawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani mwanaume hawajui kucheza na hakili zetu(kina-dada)
Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?
Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijari siku mpaka siku
Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile
Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambilia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!
Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
Kabisa shost akeeWanaume wa ajabu sana wengine wanafanya hizo mambo ila wale wanaojifanya wajuaji matusi na kuponda etiii nilkuwa nakujaribu nimeona mwanamke huyu kilazaa hiyo vepeeeee
Yan wanaume wanajionaga miungu watu wakat kwenye k hawana ujanja wowote kutwa kutupondaa oooh tukikubali haraka Malaya tukiwazungusha shida hawaeleweki wanataka nini?
Sasa nasemaje mwanamme unayebwabwaja utahangaika sana wenzako wanatutreat tu wanajilia vizur vya dunia nyaaaaaau kabisaaa
Nipitie hapa ofisin basi jamani!Haya ngoja nikupeleke lunch utakuwa umeshakubali
jaribu kutongoza na wewe kama ni virahisiNawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani mwanaume hawajui kucheza na hakili zetu(kina-dada)
Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?
Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijari siku mpaka siku
Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile
Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambilia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!
Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
https://www.jamiiforums.com/threads/wanaume-tafuteni-maneno-mazuri-ya-kutongozo.1505512/Nawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani mwanaume hawajui kucheza na hakili zetu(kina-dada)
Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?
Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijari siku mpaka siku
Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile
Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambilia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!
Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
ungeanzisha thread yakoWanaume wa ajabu sana wengine wanafanya hizo mambo ila wale wanaojifanya wajuaji matusi na kuponda etiii nilkuwa nakujaribu nimeona mwanamke huyu kilazaa hiyo vepeeeee