Wanaume msifanye hivi

Mada inaongelea wanaume na sio wanawake. Nao wataletewa uzi wao na wakwe zao ila kwa leo tuzungumzie wanaume. Hasa wanaoshindwa kuwatetea wenz wao mbele ya ndugu na marafiki. Tuanzie hapo
 
Reactions: 365
Tatizo kuna mda mwanamke anakuwa anamdomo, anaropoka mbele ya watu utaacha kumgombeza au kumkaripia??

me mwanamke akinijibu hovyoo mbele za watu ntamkata hayoo maskio. tukiwa chumbani ajibu atakavyo ata atukane sawa tu.
Kwa wanawake wenye mdomo sina la kusema aisee. Nasemea pale unakuta mwanamke mpole hana shida ila amekosea kidogo tuu unamdhalilisha mbele za watu unamfanya ajione hana thamani.
 
Basi sawa
Mada inaongelea wanaume na sio wanawake. Nao wataletewa uzi wao na wakwe zao ila kwa leo tuzungumzie wanaume. Hasa wanaoshindwa kuwatetea wenz wao mbele ya ndugu na marafiki. Tuanzie hapo
 
Ubarikiwe sana.
 
Siwezi kutetea upuuzi, ukishidwa kuelewa mambo kistaarabu then u'll have learn them the hard way
.. Chamsingi kujifunza, na lazima ujifunze haijalishi kwa njia gani.
 
Siwezi kutetea upuuzi, ukishidwa kuelewa mambo kistaarabu then u'll have learn them the hard way
.. Chamsingi kujifunza, na lazima ujifunze haijalishi kwa njia gani.
mkuu bora ingekuwa kumsema kuwa amekosea hapana ni kumsimanga na kumsema kwa mambo ya uongo. Halafu unakuta mume anacheka tuu mwenzi anavyosimangwa wakati anajua sio kweli kabisa
 
Watu wanafurahia sana matusi. Ukiandika maneno ya busara kama haya, thread yako inakufa na kurasa 2 tu. Lakini ukiandika habari ya kulowa kila unapoguswa...., mh, utaona watu watakavyochangia! Kweli watu wengi tunapenda njia pana yenye lami lakini itupelekayo kuzimu. Njia nyembamba haipendwi...
 
Hahahaaa ndio wabongo walivyo mambo ya msingi hawataki kabisa kusikia. Ila andika pumba uone uzi unavyokimbia kwa kasi
 

aaaagh wapi na nyie akili zenu mbovu wakati mwingine ndiyo maana tunawafanyia visa
 
Ulimuoa wa nini mwenye akili mbovu? Na je kumfanyia visa kunakufanya uwe mwanaume au akili isiwe mbovu??
aaaagh wapi na nyie akili zenu mbovu wakati mwingine ndiyo maana tunawafanyia visa
 
wanawake mna midomo sana....tukiwapenda saaaaannaaa,,, mnatuona mabwege.....kikubwa ni kuheshimiana......na uelewe habari habari ya wakwe haina mashiko kabisa....sijaoa ukoo...na msipende kulazimisha sana hili...wengi wamevurugwa na hili...ni wazazi tuwaheshimu inatosha....watoto ni wetu sote habari ya kunizalia delete.....ungenizalia ukaondoka hapo sawa.....
 
Hi
Biblia haisemi tuwaheshimu wake zetu bali tuwapende....wake ndio wameaswa kutuheshimu na kututii sisi....Mungu anajua kabisa kuwa mwanamke akiheshimiwa huwa anabadilika na kuwa mbaya kuliko shetani...yy apendwe tu..ova

Huwezi kupenda bila kuheshimu.
 
Je ni heshima kutowajulia hali wala kuongea na wakwe zako zaidi ya miaka?? Je kumsema mke wako vibaya (kumsimanga) tena kwa mambo ya kusikia mbele ya rafiki zako ni haki??? Je kufurahia na kukaa kimya mke wako akisemwa na ndugu zako tena unajua kabisa sio kweli ni haki?? naomba unijibu hayo then rudi usome upya uzi uchangie
 
Logic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…