Kivuruge girl
Senior Member
- Jan 18, 2018
- 131
- 160
Habari wanajamvi wenzangu,
Naenda moja kwa moja kwenye mada,
Hii ni hasa hasa kwa kaka zangu (me). Unakutana na mdada, anamaisha yake tu ambayo anajipatia riziki yake ya kula kila siku japo mia mbili mbili kwa siku. Anaishi mwenyewe. Ikatokea bahati mkafanya kazi pamoja once or twice (Official work) then kila mtu akaendelea na maisha yake.
Baada ya muda unaanza kumsalimia na kumjulia hali(kitu ambacho sio kibaya). Then katika maongezi yenu unakuja kujua kwamba hajaolewa, hapo hapo unamwambia unataka kumuoa! Seriously? Hivi watu wanaweza kuoana bila kuwa marafiki-wapenzi-wachumba? Hujui back ground ya msichana ikoje, you know nothing about her, hujui kama anamchumba, mchepuko wa mtu au love life yake ikoje then unakurupuka unataka kumuoa.
Kaka zangu, sio kila mwanamke ambae hajaolewa ukimtangazia tu ndoa, basi anakubali. Acheni kutuchukulia poa.