Wanaume mpunguze ubahili sasa jamani hata Wazazi wenu pia mwawabahilia??

Naona watu wanajikanyaga sana kwenye huu uzi hawataki kusema ukweli,unakuta mtu hela kwa mzazi anampa kimachale sana lakini kwenye huu uzi ana comment as if huwa ana wapa wazazi hela mara kwa mara.
Hili swala ni Tatizo kwa takribani 90% ya wanaume wote na ukweli lazima usemwe,hii ni NATURE ambayo imetokana na maandiko yanayosema utamwacha Baba na mama yako na utaenda kuanzisha familia yako,ndio maana inatambulika duniani kote Wazazi wako sio sehemu ya familia yako
 
Sindo nyie mnaojifanya hamna hela,,mwanaume fanya kazi mambo ya sina hela tupa kule,,,,ili usiwe dume suruale
Wapo watu wabahili na kuna mtu asiye nazo.

Hawa ni watu wawili tofauti. Kutokuwa na pesa sio uanaume suruali wapo watu wanazisaka wanapata kidogo je utamuita mwanaume suruali.

Duniani viwango vya maisha vinatofautina na itaendlea kuwa hivyo hadi siku wewe au mimi tunaondoka duniani
 
Tuliza mori bhasi kijana wangu!!
Me ntakuombea bhasi uwenazo ili usiwabanie bebezi na familia
 
Naona watu wanajikanyaga sana kwenye huu uzi hawataki kusema ukweli,unakuta mtu hela kwa mzazi anampa kimachale sana lakini kwenye huu uzi ana comment as if huwa ana wapa wazazi hela mara kwa mara.
Hili swala ni Tatizo kwa takribani 90% ya wanaume wote na ukweli lazima usemwe,hii ni NATURE ambayo imetokana na maandiko yanayosema utamwacha Baba na mama yako na utaenda kuanzisha familia yako,ndio maana inatambulika duniani kote Wazazi wako sio sehemu ya familia yako
Saaafi
 
Hiyo roho ya kishetani itakuua mapema sana.

Jitahidi uiache haraka iwezekanavyo
Huwajui ndugu zangu Mkuu then haujui the way walinitreat na wanavyonitreat honestly natamani nisingekua na ndugu baki zaidi ya wale tuliozaliwa tumbo moja

Afu ujue hata wewe naweza nikakupenda na kukuheshimu kuliko ndugu zangu I hate all bunch of them
 
Naona watu wanajikanyaga sana kwenye huu uzi hawataki kusema ukweli,unakuta mtu hela kwa mzazi anampa kimachale sana lakini kwenye huu uzi ana comment as if huwa ana wapa wazazi hela mara kwa mara.
Hili swala ni Tatizo kwa takribani 90% ya wanaume wote na ukweli lazima usemwe,hii ni NATURE ambayo imetokana na maandiko yanayosema utamwacha Baba na mama yako na utaenda kuanzisha familia yako,ndio maana inatambulika duniani kote Wazazi wako sio sehemu ya familia yako
Ila kwa watoto wa kike huwa kinyume chake, wengi hujitoa kuwasaidia wazaz wao tofauti na watoto wa kiume.
 
Huwajui ndugu zangu Mkuu then haujui the way walinitreat na wanavyonitreat honestly natamani nisingekua na ndugu baki zaidi ya wale tuliozaliwa tumbo moja

Afu ujue hata wewe naweza nikakupenda na kukuheshimu kuliko ndugu zangu I hate all bunch of them
Maandiko yanasema tuwapende wanaotutendea mabaya mkuu
 
Tatizo sina viumbe, nina kiumbe wangu mmoja nishamchagua na nimeamua kutulia kwake.

Na yeye anajielewa, tumeshibana.

Yeye mtoto wa Trust Fund, mimi mtoto wa Trust Fund,mtoto hata ukimuachiakadi hawezi kupapalika kwa sababu ni vitu ambavyo si vigeni.

Hana makuu mtoto wa watu kafundwa tangu mtoto na baba yake mwenyewe Profesa wa Chuo Kikuu anayejua adabu za ustaarabu wote.

Tatizolikowapi?

Endelea kuota tu,utamka siku moja,
 
No sipend unavodaydream na fatansy,..maisha sio kuota,life is treak,and overly complicated,
Tatizo wewe unapoona kuogelea Chumbe ajabu, wengine wanapiga hesabu za kuzama Mariana Trench.

Inaniwia vigumu kuelewa kwa nini unaona vitu vya kawaida fantasy.

Kipi cha ajabu hapo?

Nimesema nawatumia salamu kutoka sayari ya Mars?
 
Back
Top Bottom