Wanaume mpunguze ubahili sasa jamani hata Wazazi wenu pia mwawabahilia??

Aisee hebu tuangalie kwa undani wale tunawaita ndugu zetu maana ujue Kuna mtu hata Hua hamuwasiliani then anakutafuta na kukueleza shida

Afu ukiangalia Kuna baadhi ya ndugu ambao zamani walikunyanyasa kwahiyo Hao hata kwenye simu Hua hatuwasevu majina Yao

Kuna ndugu wanaboa Sana kiasi kwamba unaona ni bora kua independent tu na kufa kivyako

Namshukuru mungu sijawahi muomba ndugu yeyote msaada zaidi ya wazazi wangu wawili tu

Nawachukia ndugu kupita kiasi hata Mwanamke nitakae muoa hatakua na akiona ndugu wa hovyo hovyo wakija kwangu zaidi ya wale niliozaliwa nao tumbo moja tu Tena washua vibaya mno

NAWACHUKIA NDUGU ZANGU
Duuuuh hatar sana
 
Mwanamme wa shoka anamuachia mwanamke kadi mwanamke atumie pesa mpaka aone aibu mwenyewe kuzidisha matumizi.

Sharti tu huyomwanamke asiwe mwanamke yeyote, awe maalum.

Kwa style hii mwanamme hawezi kuambiwa "sina pesa".

Sanasana ataangalia bank statement tu kuhakikisha balance badoinanona.

Ndivyo ninavyofanya babakokwa Bi. Zuhra mamako.

Umesikia mwanagu?

Ulivyonitajia mwaka wako wa kuzaliwa nikaku adot tu uwe mwanangu wa JF.

We kuna kitu unatachotafuta kwa ao viumbe utakipata,endelea kusikiliza ujinga wao uo,...wenzako awajui kesho mpaka ifike,..
 
We kuna kitu unatachotafuta kwa ao viumbe utakipata,endelea kusikiliza ujinga wao uo,...wenzako awajui kesho mpaka ifike,..
Tatizo sina viumbe, nina kiumbe wangu mmoja nishamchagua na nimeamua kutulia kwake.

Na yeye anajielewa, tumeshibana.

Yeye mtoto wa Trust Fund, mimi mtoto wa Trust Fund,mtoto hata ukimuachiakadi hawezi kupapalika kwa sababu ni vitu ambavyo si vigeni.

Hana makuu mtoto wa watu kafundwa tangu mtoto na baba yake mwenyewe Profesa wa Chuo Kikuu anayejua adabu za ustaarabu wote.

Tatizolikowapi?
 
Mwanamme wa shoka anamuachia mwanamke kadi mwanamke atumie pesa mpaka aone aibu mwenyewe kuzidisha matumizi.

Sharti tu huyomwanamke asiwe mwanamke yeyote, awe maalum.

Kwa style hii mwanamme hawezi kuambiwa "sina pesa".

Sanasana ataangalia bank statement tu kuhakikisha balance badoinanona.

Ndivyo ninavyofanya babakokwa Bi. Zuhra mamako.

Umesikia mwanagu?

Ulivyonitajia mwaka wako wa kuzaliwa nikaku adot tu uwe mwanangu wa JF.
Nimekuskia ba Zuhura.

Hahaha. Mkweo kwangu shida hawezi kupata labda nikutwe na mauti
 
Nyie nitawagawa. Na sisi huwa tunaishiwa eti mtu unakuta hata 2100 ya lt 1 ya mafuta sina
Kanuni yangu ya mafuta ni kwamba ukijaza mda wote unajaza full tank.

Sijawahi kujaza mafuta bila ku fill it up.

It's just inefficient in terms of time spent at the gas (petrol) station.
 
Back
Top Bottom