Wanaume mpunguze ubahili sasa jamani hata Wazazi wenu pia mwawabahilia??

Bacyclerbacy

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
1,644
2,000
Habar ya Zenu
Natumaini mu wazima wa afya

Baadhi yenu mmekuwa mkilalamika sana kwamba wanawake wanapenda hela zenu (kuhongwa) ukweli ni kwamba hakuna binaadam asiyependa pesa hata ikikutokea we mwanaume umepew pesa na dem wako unafurahi kinyamaa
lakin mjue kututofautisha sasa,wapo wanawake wa kila aina hivyhvy ktk swala la pesa, sio wote wanakuomba pesa bac lengo lake ni kukuchuna NO!mwingine utakuta kweli anashida

Kuna baadhi yenu naona sasa hiyo tabia wanataka kuihamishia hadi kwa ndugu zao na wazazi wao

Jamani hapana sio vema kabisa kuwabahilia ndugu zako tena hususan WAZAZI wako khaaaa..!

Utakuta mtu anategemew na ndugu yake wa kike lakin anagoma kumpapesa ya matumizi kwa kuhc kwamba mdogo wako anakuchuna mmmh hayaaaaaa na hao wazazi wako pia wanakuchuna?

Hebu wajalini wazazi kwani Mwenyez Mungu Ameamrisha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, na wazazi wawili muwatendee wema. Mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: Ah! Wala usiwakemee. Na sema nao kwa msemo wa heshima. Na tuwainamishie bawa la unyenyekevu kwa kuwaonea huruma. Na useme: Mola wangu Mlezi! Warehemu kama walivyonilea utotoni

Wanawake wenzangu tujitahid saaana kuwakumbusha hawa viumbe katika hili ni wasahaulifu kupindukia
 
Al-Watan

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,920

Nimefurahi umeanza kwa kusema "baadhi yenu". Baadhi yetu inabidi tusawazishe habari kwa kuonyesha kwamba tunafanya wajibu wetu.

Sipendi kujigamba, lakini nikiona kama kuna tuhuma dhidi ya uanaume wangu kujitetea ni wajibu.

Mimi nam spoil Bi. Zuhra mke wangu (nimenunulia BMW SUV la nguvu hivi karibuni na ana kadi yangu yenye hela kibwena na anaweza kuzitumia anavyotaka mwenyewe).

Na nawa spoil wazazi wangu - ambao tangu awali hawahitaji msaada wangu sana- (nampatia Mzee wangu hela kuendeleza miradi yake kiasi anaona haya kutaja habari za hela kwa miezi sita baada ya kumpatia). Ninavyomuheshimu Mzee huyu kuna ndugu wengine hata siwajui wanakuja kumlilia, akinipatia habari sina hata maswali mengi, kwa sababu wamepita litmus test ya mzee wangu, hivi vi mizinga vya $ 200 - 500 nawacheki.Hela za kununua viatu tu hizo.

Nawa spoil wadogo zangu na vijana wadogo wa nyumbani (jana madogo wote wamepigwa Air Jordans wanazotaka wenyewe na mapochopocho mengine wajisikie wapo duniani na kuna wakubw wanawajali). Leo Bi. Zahra anawapeleka water park waende kupunguza joto na uchovu wa kukaa nyumbani.

Hapo hata sijataja habari za Dada zangu.

Kwa hiyo tafadhali, chonde chonde.

Kamaulivyosema awali.

Habariyako inaishia hukohukokwa baadhi hao, upande huu mwiko.

Tunawapenda wake zetu, wazazi, familia, watoto, tunahudumia vilivyo.
 
Prince toyboy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
377
500
Aisee hebu tuangalie kwa undani wale tunawaita ndugu zetu maana ujue Kuna mtu hata Hua hamuwasiliani then anakutafuta na kukueleza shida

Afu ukiangalia Kuna baadhi ya ndugu ambao zamani walikunyanyasa kwahiyo Hao hata kwenye simu Hua hatuwasevu majina Yao

Kuna ndugu wanaboa Sana kiasi kwamba unaona ni bora kua independent tu na kufa kivyako

Namshukuru mungu sijawahi muomba ndugu yeyote msaada zaidi ya wazazi wangu wawili tu

Nawachukia ndugu kupita kiasi hata Mwanamke nitakae muoa hatakua na akiona ndugu wa hovyo hovyo wakija kwangu zaidi ya wale niliozaliwa nao tumbo moja tu Tena washua vibaya mno

NAWACHUKIA NDUGU ZANGU
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom