Technologiest
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,728
- 4,058
Pole sana kwa changamoto.Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.
Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.
Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.
Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?
Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.
Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.
Ni mada nimeona niilete.
Asante ni.
Una umri gani kaka/baba/babu mzuri?Mchepuko wenyewe sasa, alafu unataka tutulie vipi?
View attachment 2958917
Niko kwenye balehe ya tatu, natumia mafao sasa kula urodaUna umri gani kaka/baba/babu mzuri?
HaswaaaKumbe hawa Ina maana wengi
Hata wewe na wenzako mkiondoka tu JF tutatulia na wake zetu na kufuatilia mada za siasa na kilimo tu.Usidaganye mwezako tutatulia sanaaaa tena sana tu.
Kama wabaya wapo basi na wema wapo, ndege wafananao huruka pamojaWapo kwani?
ππ, Karibu Sana kwenye jukwaaNini shida boss. Nimeweka wazi nimekuwa msomaji Leo nimejiunga nilete hoja yangu. Kuna tatizo?
Halafu kuna new members wa kike wengi kweli siku mbili tatu hizi, ila comment na mada zao sasa!π€π€π€π€π€View attachment 2958927
Mie mdogo wako !Baba /kaka hongera kwa kaz ya ukaguzi