Ingependeza kama ungeleta Tafsiri ya kutulia kwanza.Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.
Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.
Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.
Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?
Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.
Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.
Ni mada nimeona niilete.
Asante ni.
Mpe Uno la uzazi atatulia tuNawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?
Tatizo hamtupi kwa wakati pale tunapotaka
Wanapata au wanabeba wenyewe?Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.
Ukitaka unapewa hapohapo hata machakaniTatizo hamtupi kwa wakati pale tunapotaka
Wanawake ni wengi kuliko wanaume, je hao wanaozidi wanatatuaje hitaji la kimaumbile, tazama hata katika hali ya kawaida kujichua kunavyopigwa vitaKumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.
Umeonae!Tatizo hamtupi kwa wakati pale tunapotaka