Wanaume mnawachukulia aje wanawake wa hivi?

Wanaume mnawachukulia aje wanawake wa hivi?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Wanaume mnawachukulia aje wanawake wanaojichora tottoo? Hasa wale wanaochora tattoos kubwa kwenye mkono, kwenye kalio au mapaja? Mimi mwanamke au mwanaume akichora tattoos kubwa kubwa namuona kama mchafu tu hata sipendi tattoos.
 
Mimi binafsi naona anajiuza na anajitangaza waziwazi...
Zamani Dar ilikuwa hivyo

Wale wanaojiuza wanaweka tattoo kuvutia wateja wazungu..
Wapo siku hizi wanaoiga Tu kama fashion but Mimi nawaona wote makahaba wanaojiuza
 
hawa wasichana zinachorwa sehemu hatari mpaka unajiuliza huyo mchoraji alifikaje hapo Karibu kabisa na Suez canal
 
Back
Top Bottom