Wanaume mnatakagaje?

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,495
Reaction score
10,588
Wanaume mnashida sana.

Mtu anagomba usipo pata mimba. Eh ukipata mimba anadai umekaaje kizembe ukapata mimba nawakati sijajipanga kuitwa baba ulivyokuwa unakula kisela ulitaka apate nini namimbegu yako sasa?

Kuna wanaume hawajui wanatakaga nini aisee.
 
Wala usiwashangae wao, Sisi ndio tukushangae wewe kwa Calculation zako ulizofanya kila kitu Differentiation , Correlation na regression analysis za huyo mwenye ubongo wa hivyo na flags zote and still ukaruhusu akujojolee ndani..Pathetic njoo na akili zako kwanza tukuchunguze
 
Pole sana ukiona baharia amekataa mimba ujue huyo alitaka utelezi tu hakuwa na malengo na wee
 
Nimekupenda BureπŸ˜‚
 
SIo mimi bwana nimeangalia filamu ya kingereza bwana so nikaamua kuuliza hapa .
 
Aya twenzetu!πŸ§‘β€πŸ€β€πŸ§‘
 
Kipindi ambacho utakuwa na uhakika wa maamuzi ya kubeba mimba ni pale utakapokuwa umeolewa.... Si vinginevyo.

Kwa hapa/hili tunasimama na mwana...

Ifike hatua mzihurumie hizi Roho zisizo na hatia... Maana mmoja wenu au nyote msipoafiki, mnaiweka hii Roho isiyo na hatia taabuni.

Asante
 
Wanawake wengi siku hizi waaendekeza nyege na fedha. Ila nyie mnapower kubwa ya kukataa ngono kabla ya ndoa,ila ndio hivyo wengi wenu ngono ishakuwa kama chakula sababu ya nyege mlipuko mlizokuwa nazo,pili mnapresha kibao za kujitakia vikoba, mchezo mmoja majina matatu, mikopo, unataka simu kali, nguo za brand kubwa,gari kali,uishi kwenye nyumba kalink.Ndio maana mnaachia na wahuni washajua udhaifu wenu.

Ila kwa kutumia akili na utashi aliokupa Mungu, unaweza zuia mimba kabla ya ndoa,tatizo lenu hamzitumii hizo tunu mlizopewa na Mungu mnaendekeza nyege na fedha.
 
Huyo wako hujamwelewa tuu, wewe mpe anachotaka uone kama utaleta maswali huku jf.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…