Wanaume mnataka mgundue nini

Wanaume bila kujizuia utazini sana maana kila mwanamke ambaye hujamuonja huwa kwetu ni mzuri
Kikubwa ni kuishinda nafsi
Mkuu hujakutana na majanamke mabaya wewe sura chachu migulu pande wengi wao ni walipatikana kwa unexpected pregnancies
 
Usijali ,, kwa ma surprise nilokuandalia mweeeeee utajuta kuzaliwa Binti Z .... wakati unashangaa kiatu nilichokuchukulia ,,,, nyuma nmekubebea Uwa zuriiiiiiiiii ,,lile ulonambiaga unapenda muda wote ulione likiwa kitandani !!.
Woooow angalia nisije kupoteza maisha kwa masprise mwenzio.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…