Wanaume mnatafutaga nini?

Tanzania bara inazaidi ya hiyo mikoa kwahiyo shukuru hao kumi ni wachache
Amesema zaidi ya 10 hivyo uenda hiyo zaidi inaenda mbali ya mikoa ya Tanzania uliyosema! Mwalimu kama ni hivi, hiyo tuisheni yako siyo matango pori kweli?!!
 
Shetani😮 Unaonaje ukatuwekea picha yake hapa tumuone huenda akawa baharia,

Pole Sana.
 
Sasa tangu lini MALAYA akafurahia jambo hilo?
You deserved.
Mtu hajakuoa Unachoropoa LICHUPI lako anakuzini kisha unakuja kulalama hapa.
 
usichokijua ni kuwa mwanaume ni kama jogoo tu, huwa ana tetea moja ambalo kila mahali yuko nalo ila likikatiza tetea jingine tu mbele yake basi haachi kulipanda na tetea lake la kudumu halimind maana linaijua nafasi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishajua maana ya mwanaume ndio utaelewa ulilofanya ni utoto.

Sasa unamuacha mwanaume ambaye hujamfumania ana kwa ana na mwanamke.

99% Wanaume wapo hivyo.
1% Hawa ni wagonjwa, Marehemu, Mashoga ndio hawana makando kando
 
Yeye anao 10 zaidi yako,wewe unao wangapi zaidi yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimwamini sana, hakuwahi onyesha hata chembe ya kunisaliti
Ukishajua maana ya mwanaume ndio utaelewa ulilofanya ni utoto.

Sasa unamuacha mwanaume ambaye hujamfumania ana kwa ana na mwanamke.

99% Wanaume wapo hivyo.
1% Hawa ni wagonjwa, Marehemu, Mashoga ndio hawana makando kando

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatafuta radha tofauti na ujuzi tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…