Wanaume mnashangaza sana

Ukweli ni kwamba usije ona mtu kafanya kitu kiovu ukahisi sababu ya heshima yake ndo umsitiri, mzazi ni mtu kama watu wengine isipokua yeye ana majukumu mazito ya kumlea mtu ambae kamleta duniani...wangapi wanalelewa katika mazingira ambayo ni maovu,mabaya ambayo hayasemeki mbele za watu? Je unahisi ni swala sahihi kwa kuwa kapitia maisha kama hayo basi na yeye mwanae amlee katika namn hiyo hiyo eti kwa sababu mzazi wake kamlea ivyo?...Pengine labda hujui maana ya kujifunza kutokana na makosa, tumeyaona kwa wazazi wetu ndio maana binafsi sitaki kuoa single maza...nimejifunza najifunza na nahitimisha...
 
Hongera kama hujazalishwa, sasa unasubili nn?
 
Spidi kali mpaka choo cha ndani, salamu muhimu jmn! We huoi ila unawasaidia watu kuweka vigezo, why lakin?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi yupi bora kati ya single mother na aliyetoa mimba
Ni bora mara elfu kuishi na single mother kuliko muuaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…