Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,512
Snapchat ni chakula gani?Inasikitisha/huzunisha sana kuona mwanaume anatumia hii kitu. Hii kitu kwangu me ni kama takataka lakin utakuta kuna wanaume wanatumia huu upuuzi na anajiita mwanaume rijali.
Mwanaume aliyekamilika hawez tumia snapchat kwasabau snapchat imetengenezwa kwa ajili ya wanawake hata zile filters zake ni za kike, wew mwanaume unaetumia tukueleweje?
Ukichunguza kwa makini utajua wanaume wanaotumia hii kitu ni walewale, na wanaume wa dar ndo wanaongoza kwa kutumia hii kitu kati ya 10 basi 8 wana hii app.
Kiukweli huwa namshangaa sana mwanaume anaetumia snapchat!! Badilikeni maselaah.
Acha uongo ex.Instagram tu imenishinda
Ni zile kwaru kwaru watoto wanapenda kula karatasi zake nje zimendikwa chips snaks ndani ndo snapchat zenyewe zilikoSnapchat ni chakula gani?
haya bisha si umeumbwa ili uje ubisheAcha uongo ex.
Acha uongo ex.
Ndio nishabisha.haya bisha si umeumbwa ili uje ubishe
haya tuendelee
Wala hakuna pengo, nina meno yote 32, sijawahi kung'oa hata moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ex eeh.
Vip pengo limezibwa?
Ni zile kwaru kwaru watoto wanapenda kula karatasi zake nje zimendikwa chips snaks ndani ndo snapchat zenyewe ziliko
Wala hakuna pengo, nina meno yote 32, sijawahi kung'oa hata moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie bado mtoto mkuu.Ujue wewe ushakua..? Acha kujifanya mtoto.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
bisha si umeona unanikomeshaNdio nishabisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bisha si umeona unanikomesha