Wanaume mnaopenda kupita kiasi

Wanaume mnaopenda kupita kiasi

Hivi huwa mnamatatizo gani unakuta mwanamke analeta dharau na kukuaibisha lakini utasikia nampenda sana siwezi kumuacha.huo NI udhaifu.
usiombe umuelewe mtu bro,,
ila kuumizwa kila siku ndio ufala,kuumizwa na mtu mmoja mara moja sio mbaya
 
Nyie wasenge mnajiongelesha kwa sababu hamjapenda.
Ukishapenda ndo lazima ufanye ufala huo... Ooh bila wewe siwezi kumbe maisha lazima yendelee hata bila yeye.

Ila nachojua mimi..real love never exist
 
Back
Top Bottom