Wanaume mnakwama wapi?

Wanaume mnakwama wapi?

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,158
Wanaume siku hizi mmekua mbugila sana,mmekua na uwezo mdogo sana wakuchakata na kupembua mambo kwenye bongo zenu,uwezo wakufikiri kwa wanaume wa africa umepungua sana.

Mwanaume unashindwa kuhandle mambo madogo madogo ya familia yako,au ya girlfrnd wako kosa kidogo tu unakimbilia kwenye mitandao kuomba msaada, hivi mnajielewa kweli ninyi???
Yani mwanaume umening'iniza kende tu huna la ziada unanyimwa unyumba tu ushakimbilia kwenye magrp ya wsp kuomba msaada. Ishu ndogo kama hiyo unashindwa kuimaliza kiume??

Sisi wanawake umbea ni asili yetu hata tukiongea huko kwa mashoga zetu ni kawaida tu,acheni kuiga umbea kutoka kwetu sio lazima tuwe sawa kwenye mambo yote.....mxieeeeeeeeeeeew

Nice wkend

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa mwanamke anayemnyima Unyumba Mumewe uyo ni punguani.
Mwanamke ukishindwa kumtimizia Mumeo baai ni mbulula na unadhalilika kwa wanawake wenzio kwani watakua wanakucheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti ya wanaume na waulana. Wote wana dyudyu ila akili tofauti na mawazo tofauti
Wanaume siku hizi mmekua mbugila sana,mmekua na uwezo mdogo sana wakuchakata na kupembua mambo kwenye bongo zenu,uwezo wakufikiri kwa wanaume wa africa umepungua sana.

Mwanaume unashindwa kuhandle mambo madogo madogo ya familia yako,au ya girlfrnd wako kosa kidogo tu unakimbilia kwenye mitandao kuomba msaada, hivi mnajielewa kweli ninyi???
Yani mwanaume umening'iniza kende tu huna la ziada unanyimwa unyumba tu ushakimbilia kwenye magrp ya wsp kuomba msaada. Ishu ndogo kama hiyo unashindwa kuimaliza kiume??

Sisi wanawake umbea ni asili yetu hata tukiongea huko kwa mashoga zetu ni kawaida tu,acheni kuiga umbea kutoka kwetu sio lazima tuwe sawa kwenye mambo yote.....mxieeeeeeeeeeeew

Nice wkend

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatakiwa wawe wasiri kama wanaume wanaopigwa na wake zao
 
Kaagizie pale Green Palm nakuja kulipa

Waiter zungusha tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wanawake huwa mnakosea wapi kuanzia siku unakutana na mwanaume, inakuaje mnakosea huwa mnaingiwa na tamaa gani na bado mnalalamika lalamika mmekutana na vijana hawatoi huduma, hawajibiki majukumu yao kama wanaume, nyie mnakosea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume siku hizi mmekua mbugila sana,mmekua na uwezo mdogo sana wakuchakata na kupembua mambo kwenye bongo zenu,uwezo wakufikiri kwa wanaume wa africa umepungua sana.

Mwanaume unashindwa kuhandle mambo madogo madogo ya familia yako,au ya girlfrnd wako kosa kidogo tu unakimbilia kwenye mitandao kuomba msaada, hivi mnajielewa kweli ninyi???
Yani mwanaume umening'iniza kende tu huna la ziada unanyimwa unyumba tu ushakimbilia kwenye magrp ya wsp kuomba msaada. Ishu ndogo kama hiyo unashindwa kuimaliza kiume??

Sisi wanawake umbea ni asili yetu hata tukiongea huko kwa mashoga zetu ni kawaida tu,acheni kuiga umbea kutoka kwetu sio lazima tuwe sawa kwenye mambo yote.....mxieeeeeeeeeeeew

Nice wkend

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawasema wanaume wapi?

MWANAUME WA MKOANI KULA PAPUCH YA MKEWE NI HAKI YAKE KAMA KWENDA HAJA NDOGO!! NA SI HAKI YA MKEWE KUMPANGIA MDA WA KUITAFUNA.....

we pambana na hao wala kiepe yai hoko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kulalamika wanawake, mleta mada wakati mnakutana hukuweza kumjua mumeo ni mtu wa aina gani huyo ndiyo chaguo lako usilielie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona imekuchoma kama pasi kwa jinsi mumeo alivyokutangaza! pole sana,halafu jaribu kutofautisha wanaume na wavulani,unaponda watu kutaka ushauri kwenye social media huku wewe mwenyewe umeitumia hiyo hiyo social media kuwasilisha malalamiko yako!!
 
Wanaume siku hizi mmekua mbugila sana,mmekua na uwezo mdogo sana wakuchakata na kupembua mambo kwenye bongo zenu,uwezo wakufikiri kwa wanaume wa africa umepungua sana.

Mwanaume unashindwa kuhandle mambo madogo madogo ya familia yako,au ya girlfrnd wako kosa kidogo tu unakimbilia kwenye mitandao kuomba msaada, hivi mnajielewa kweli ninyi???
Yani mwanaume umening'iniza kende tu huna la ziada unanyimwa unyumba tu ushakimbilia kwenye magrp ya wsp kuomba msaada. Ishu ndogo kama hiyo unashindwa kuimaliza kiume??

Sisi wanawake umbea ni asili yetu hata tukiongea huko kwa mashoga zetu ni kawaida tu,acheni kuiga umbea kutoka kwetu sio lazima tuwe sawa kwenye mambo yote.....mxieeeeeeeeeeeew

Nice wkend

Sent using Jamii Forums mobile app
okey poa.
 
Ni tabia isiyofaa kufananisha tuvulana na wanaume.

Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom